Clouds Media ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Yani wanatumia nguvu kubwa sana kuutangaza msiba wa Ruge uonekane kama msiba wa kitaifa na kuudanganya uamini kwamba Ruge alikuwa kipenzi cha watu.
Wameona hiyo haitoshi wakaamua mpaka kuwalipa wasanii ili wamtungie wimbo Ruge ili kumsafisha.
CMG wakumbuke kwamba jasho la wanyonge haliendi bure bure ,yale yote aliyowafanyia wasanii ikiwemo kuwadhulumu haki zao za msingi lazima huko aendako ataulizwa na atalipa ubaya wote aliowafanyia watu.
Uungu mtu unaishia hapa hapa duniani, hata Farao kipindi anafariki alijutia yale maovu yote aliyokuwa anawafanyia watu na alitaka kutamka shahada ili Mungu amsamehe lakini Mungu alikataa shahada yake na mwili wake ulikataliwa na ardhi, kila wakimzika ardhi inamtema,wakajaribu kumchoma moto lakini wapi haikusaidia.
Kingine cha muhimu zaidi watoe mchanganuo wa pesa za matibabu ambazo Watanzania walichanga kwa ajili ya matibabu yake.
Sent using
Jamii Forums mobile app