TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mmh!

labda hataki ndara...ziwa kuanguka

na huyo mume angemuoa kweli na miwaya??
Ngumu ....



Sent using Jamii Forums mobile app


unadhan ukinyonyesha ndo ndala..hapana bwana ni ujinga tu..as the days goes on tishu za maziwa zinaanza legea..kuanguka ni kama pie!ila kuna wengine hawanaga maziwa so anakuwa forced kumwanzishia formulas mapema
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.

Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source: Clouds tv!
 
Clouds Media ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe.

Yani wanatumia nguvu kubwa sana kuutangaza msiba wa Ruge uonekane kama msiba wa kitaifa na kuudanganya uamini kwamba Ruge alikuwa kipenzi cha watu.

Wameona hiyo haitoshi wakaamua mpaka kuwalipa wasanii ili wamtungie wimbo Ruge ili kumsafisha.

CMG wakumbuke kwamba jasho la wanyonge haliendi bure bure ,yale yote aliyowafanyia wasanii ikiwemo kuwadhulumu haki zao za msingi lazima huko aendako ataulizwa na atalipa ubaya wote aliowafanyia watu.

Uungu mtu unaishia hapa hapa duniani, hata Farao kipindi anafariki alijutia yale maovu yote aliyokuwa anawafanyia watu na alitaka kutamka shahada ili Mungu amsamehe lakini Mungu alikataa shahada yake na mwili wake ulikataliwa na ardhi, kila wakimzika ardhi inamtema,wakajaribu kumchoma moto lakini wapi haikusaidia.

Kingine cha muhimu zaidi watoe mchanganuo wa pesa za matibabu ambazo Watanzania walichanga kwa ajili ya matibabu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Braza yaonekana unaumia sana. Hivi hiyo kunyonywa walikuwa wanashikiwa bunduki au ilikuwa hiyari yao?
 
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki

IMG_4781.JPG


Sizani kama shule umeenda wewe na unaelewa kuhusu swala zima la media vizur!! Hakuna chombo cha habar ambacho hakitakuwa na leseni ya kutoa habar whether n social news or news nyingine usikurupukie vitu kwa mbele kijana



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom