TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu..kwamba jamaa ana nundu km yako[emoji23][emoji23][emoji23]
masoudi angekuwa mc angenogea sio hasan ngoma
Ananizidi nundu nikivaa lile koti nazama sitikisiki, apunguze tu mwili sio kwa mitako ile halafu dume

Masoud mtundu na anachangamka sio huyo Hasan sura yake ya kimazungumzo siielewagi, anaonekana mnafiki na mfitini sana yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mstari wa biblia unaosema mtu akiombewa /akifanyiwa ibada au misa baada ya kufa atatoka jehanam kwenda toharani mkuu
Halafu pia usisahau kutuambia toharani imetajwa wapi kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia mimi ni baba paroko?? Kama hujui imani timilifu ya Katoliki usiulize hapa. Sisi tunaomba misa kwa ajili ya wafu nayo inakubalika mbele za Mungu. Hata tukisali jumuia ndogondogo Mungu hutusikia kupitia kwa Somo wetu Mtakatifu Yuda Thade Mchamungu. Weye wa dini gani?? Sio yoote aliyoyasema Yesu kuwa yaliandikwa. Kama yangeliandikwa yote ulimwengu ungelijaa vitabu vyake. Omba sala ya Mtakatifu Inyasi uoshwe dhambi zako weye.
 
Chritiana Mutahaba ambaye ni mama mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba amesema familia yake itafarijika iwapo mazuri aliyoanzisha mwanaye yataendelezwa kwa kuwa inaonekana aligusa maisha ya wengi.
Akizungumza leo Machi 6, 2019 katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na televisheni ya Clouds, amesema amesikia mengi kuhusu mwanaye ambayo hakuyafahamu lakini itakuwa faraja yake yakiendelezwa.
“Mpaka sasa najiuliza huyu Ruge ni nani, amewafanya nini Watanzania, mbona amepata heshima kubwa, mbona mdogo sana lakini amezikwa kwa heshima hivi. Lakini nitafutahi kuona ndoto zake zinaelezwa,” amesema.
Amesema ukiacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mwanaye amekuwa Mtanzania wa pili kupata heshima kubwa katika mazishi yake.
“Wakati Mwalimu Nyerere anafariki hatukuwepo nchini lakini tulifuatilia mazishi yake yalikuwa makubwa sana, tangu hapo sijaona tena, kwa kweli amepewa heshima kubwa ninashukuru,” amesema katika mahojiano yaliyofanyika katika Kijiji cha Kiziru, Bukoba.
Pia, amemshukuru Rais John Magufuli na viongozi wengine walioshiriki kufanikisha maziko ya mwanaye kwa hali na mali.
“Namshukuru Mungu aliyetuwezesha kuleta mwili wa Ruge mpaka Bukoba, nawashukuru viongozi wa Serikali kuanzia Rais John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wote waliotusaidia. Pia, nawashukuru Watanzania kwa maombi yao.”
Akinukuu vitabu vya dini amesema mkono wa mwanadamu ni mfupi kwamba kuna mahali unaishia na ndivyo ilivyokuwa kwa Watanzania walioshiriki kwa hali na mali kuokoa uhai wa Ruge wakati akiugua.
Ndo ujue kwamba msiba ulikuzwa...mpak wazazi wanashangaa.....
 
Dear kila mtu na kichaa chake ujue... Kuna watu kama ruge hata huku mtaani akifa watu wanajaaa balaa kuna kaka alikufa watu walijazana mpk wakafikiri kiongozi kumbe walaa...na kuna wengine maarufu lakini wakifa ni normal tu!!!!
msiba wa kibs km umepoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo stail ya kibonde sasa kawaida tu

Alikufa mangwea hapa ulikua balaaa
 
Umesikia mimi ni baba paroko?? Kama hujui imani timilifu ya Katoliki usiulize hapa. Sisi tunaomba misa kwa ajili ya wafu nayo inakubalika mbele za Mungu. Hata tukisali jumuia ndogondogo Mungu hutusikia kupitia kwa Somo wetu Mtakatifu Yuda Thade Mchamungu. Weye wa dini gani?? Sio yoote aliyoyasema Yesu kuwa yaliandikwa. Kama yangeliandikwa yote ulimwengu ungelijaa vitabu vyake. Omba sala ya Mtakatifu Inyasi uoshwe dhambi zako weye.[/QUOTE wokovu ni sasa, baada ya kifo ni hukumu biblia inasema hivyo... achana na mapokeo ya kirumi
 
Kaondolewa akiwa mdogo sana tena kaondolewa kwa mateso... Uzuri alijua anakufa....
Wengine hawajui watakufaje

Sent using Jamii Forums mobile app
kama alivyoluwa anajua anachokifanya wengi hTukumjua hadi alipokufa ni watu wachache walioweza kufanya mambo makubwa kama Ruge The African Hero in Burudani
 
Back
Top Bottom