KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Freedom of speech haiko na maana kwa watu wa hivi. mtu unafurahia vipi matatizo ya binadamu mwenzio [emoji849]
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
Kumbe pesa peke yake haziwezi kumfanya mtu awe na furaha.Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
Tuwe na staha, wa kuusemea ugonjwa wake ni yeye mwenyewe pale atakapona inafaa kufanya hivyo na si vinginevyo,Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
Dah...ila akili za hovyo sana hizi...si ungemuuliza mwenyewe bana[emoji13]Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
Ogopa mno kuugua mapenziKumbe pesa peke yake haziwezi kumfanya mtu awe na furaha.
Well said walahiNI KWELI MKUU UTASEMAYO,HUYU JAMAA AMEDHOOFU MNO.AMEPOTEZA NURU KABISA.
Kama haumwi basi itakuwa ni laana za wasanii aliowahi kuwanyonya au kuwakandamiza
Aaaa wapi!Mpende adui yako kama nafsi yako! Usiusemee ugonjwa wa mtu. Safari yetu ni moja. Leo kwangu kesho kwako.
Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
Safi sana mkuu adui mwembee njaa na afie mbali yy na ndugu zake ili ubaki unaishi kwa amani.Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Mola niepushe na mikopo ya bank walahi!Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.
Kabisa...Kwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni
Kwa kweli kabisa!Safi sana mkuu adui mwembee njaa na afie mbali yy na ndugu zake ili ubaki unaishi kwa amani.
As usual mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Maisha ni mzunguko ambao kila mmoja anaupitia....
Analopitia mwenzako hata wewe siku moja linaweza kukufika....kwa kuwa sote tupo kwenye njia hiyo
Hakuna mwenye kinga ya matatizo duniani bali kuna watu wanaojisahau pindi wanapopitia vipindi vitamu maishani!!!
Fedheha na kejeli kwa mwenzako anayepambana vita yake havifai kwani huko ni kujisahau...
HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO!!!!
Hajaleta mzaha ameuliz tu kama una jibu mjibu afahamKwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni