Sio kama anafurahia yy ameuliza tu kama unalo jibu mjibu.simjui ruge ni nani lakn humu ndani kuna watu wana akili chafu sna wao kila kitu wanafurahia hata mtu akiwa na matatizo wanafurahi. hivi nyinyi mnaofurahia matatizo ya watu ni binadamu kweli au ni viumbe wa aina gani? bahati yenu sio admin ningekuwa nawapiga block wote wenye tabia za hivi kufanya utani kwenye matatizo
Itakua jambo zuri sana wakifanya hiviHuu uzi unakoelekea ,natabiri utafutwa muda si mrefu
Wapi nimemdhihaki mkuu, me nimeuliza kwa njia njema tu kutaka kujua kulikon mtani wangu huyu kadhoofika namna hii?Maisha ni mzunguko ambao kila mmoja anaupitia....
Analopitia mwenzako hata wewe siku moja linaweza kukufika....kwa kuwa sote tupo kwenye njia hiyo
Hakuna mwenye kinga ya matatizo duniani bali kuna watu wanaojisahau pindi wanapopitia vipindi vitamu maishani!!!
Fedheha na kejeli kwa mwenzako anayepambana vita yake havifai kwani huko ni kujisahau...
HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO!!!!
Hv kwa nn mnapenda sana kutumia hili neno laana kuhukumu wengine?NI KWELI MKUU UTASEMAYO,HUYU JAMAA AMEDHOOFU MNO.AMEPOTEZA NURU KABISA.
Kama haumwi basi itakuwa ni laana za wasanii aliowahi kuwanyonya au kuwakandamiza
Na iwe hivyo kulingana na kusudio la moyo wangu...kwa kuwa kamwe mtu hawezi kuiongopea nafsi yakeWapi nimemdhihaki mkuu, me nimeuliza kwa njia njema tu kutaka kujua kulikon mtani wangu huyu kadhoofika namna hii?
Kweli mkuu, siku hz utu hakunaKwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni
Acha unyoko let them talk huo ndo Uhuru wa kuongeaFreedom of speech haiko na maana kwa watu wa hivi. mtu unafurahia vipi matatizo ya binadamu mwenzio [emoji849]
Mkuu lengo la kutaka kujua siri ya ugonjwa wake ni nini hasa? Ugonjwa wa mtu ni siri yake na daktari anayehusika na matibabu yake.Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
nyoko ****** yako. halafu lazima uone ni kawaida si umezoea Ku discuss matatizo ya watu na kufurahia kama vile wewe utakuwa hupati matatizo. Halafu kama huwezi kuchangia bila kutukana naomba usini quote usinisababishe matatizo mimi.Acha unyoko let them talk huo ndo Uhuru wa kuongea
Kuumwa ni kawaida na kumzungumza mgonjwa ni kawaida pia haijalishi ni kwa ubaya au uzuri
Umewahi kuona ajali imetokea sehemu? Watu wanakimbilia kama kuna karamu. Wakikuta vifo na majeruhi ''wanahuzunika'' na hata wengine wanalia. Lakini wakikuta hamna majeruhi wala vifo wanarudi huku wanasonya na kutukana kuwa wamepoteza muda wao! Wewe umewasoma vizuri wabongo.Watanzania wengi tu Wanafiki sana, ni Watu tunaishi kwa sura mbili, mbele ya Mtu na nyuma ya mgongo wake.
Mtu akiwa na matatizo tunashabikia mitandaoni ili hali najua kabisa ni nyie nyie mkiwa macho kwa macho mtatoa na machozi kujifanya mnamuhurumia.
Juzi mlikuwa mnamkebehi Ally Choki, siku kadhaa baadae nikakuta Watu wanashangilia kilichokuwa kinasemekana kuwa ni kijana mdogo amemtukana Baba yake Mzazi mtandaoni.
Hivi ukiwakusanya hao woote waliokuwa wanashangilia matusi ya Mtoto yule na uwaulize kama wanaweza kupita njiani wakamkuta Mtoto anamtukana Mtu mzima achilia mbali kama huyo Mtu mzima ni Mzazi wake ama la, je watasimama pembemi na kushangilia au wangemuadhibu Mtoto yule?
Nina uhakika Watu 9 kati ya 10, kama sio wote watakwambia tutamfunza adabu Mtoto yule...sasa mbona mitandaoni/nyuma ya mgongo tupo tofauti?
Na ndio maana hata wakati ule mlimchuuza yule Dada yenu kuhusu maandamano lakini ilipokuja kwenye siku ya vitendo mikia ikaingizwa makalioni kama Mbwa koko.
......WANAFIKI.....
Sasa kama ni mtani wako si ingekuwa busara ukamfuta, ukampa pole na kumuuliza? Hapa ulipoleta siyo mahali sahihi.Wapi nimemdhihaki mkuu, me nimeuliza kwa njia njema tu kutaka kujua kulikon mtani wangu huyu kadhoofika namna hii?
Aisee...Hell On EarthAaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulivyokasirika sasanyoko ****** yako. halafu lazima uone ni kawaida si umezoea Ku discuss matatizo ya watu na kufurahia kama vile wewe utakuwa hupati matatizo. Halafu kama huwezi kuchangia bila kutukana naomba usini quote usinisababishe matatizo mimi.