Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Ananenepa Gea Habibu kijakazi huku Bosi Anazidi kukonda dah Ubosi gharama sana....
 
Anahitaji zaidi ya matibabu ya mwili. Nikimaanisha ushauri !!
 
Anahitaji zaidi ya matibabu ya mwili. Nikimaanisha ushauri !!
 
Wapi nimemdhihaki mkuu, me nimeuliza kwa njia njema tu kutaka kujua kulikon mtani wangu huyu kadhoofika namna hii?
 
Sikuwahi kuiona hyo clip mkuu ila nahisi ni kama ile ilomkuta marehem Amina chifupa ilianza baada ya aliekuwa mmewe kuoa kwa Siri kule kigamboni
 
Kwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni

Nafikiri Pakawa una hekima ya kutosha. Kuhusu huyo jamaa wa clouds fm hapo juu umeongea suala la msingi. Safi sana
 
Sikuwahi kuiona hyo clip mkuu ila nahisi ni kama ile ilomkuta marehem Amina chifupa ilianza baada ya aliekuwa mmewe kuoa kwa Siri kule kigamboni
Huyo jamaa (mpakanjia) alikua na wanawake wangapi ? Maana kuna uzi humu kua alioa masaa machache kabla ya kufa
 
Hao watu ni wafuasi wa ccm ndo wanahizo akili
 
Bossi Ruge in "Vijakazi wa CMG" atakuwa na stress za Mapenzi (yaani Mzazi mwenzako anakuacha solemba kiutani utani tena anaolewa ghafla,anahamia kwenye Mjengo wake_usikute wewe unaishi kota za Kampuni).Kingine kinaweza kuwa Kupambana na Mtu mwenye Nguvu ya kiusalama (eti unashawishi Wamiliki Wasusie habari zake_Mwisho wa siku Ukasalenda where you are(hapa napo unaweza kudhani mipango mibaya imesukwa kwa ajili yako).Mwisho kabisa Kijakazi mmoja aliwahi kuvujisha kuwa Bossi anashida ya Kidney (so ukichanganya na UGUMU WA BIASHARA SIKU HIZI) Lazima utadhoofu tuu hata uwe jebali.
 
Pole sana Ruge. Umefanya makubwa kwenye entertainment industry pengine kuliko kijana yoyote hapa Bongo. Mapungufu kila binadamu anayo hivyo tunapaswa kuangalia Zaidi mazuri.

Nina wasiwasi wachangiaji wengi humu ni watoto wadogo ndio maana wanajadili mambo ya ugonjwa kwa kejeli. Siku mkikutana na ya ulimwengu mtajifunza kuheshimu mtu anapokuwa kwenye wakati mgumu hata kama ni adui yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…