Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ananenepa Gea Habibu kijakazi huku Bosi Anazidi kukonda dah Ubosi gharama sana....Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.