Kwa nn ndugu waingie kwenye mkumbo ilihali hawajui magonvi yenu.!!?Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Umenena vyema kabisa Boss RUGEKwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni
[emoji106]Pole sana Ruge. Umefanya makubwa kwenye entertainment industry pengine kuliko kijana yoyote hapa Bongo. Mapungufu kila binadamu anayo hivyo tunapaswa kuangalia Zaidi mazuri.
Nina wasiwasi wachangiaji wengi humu ni watoto wadogo ndio maana wanajadili mambo ya ugonjwa kwa kejeli. Siku mkikutana na ya ulimwengu mtajifunza kuheshimu mtu anapokuwa kwenye wakati mgumu hata kama ni adui yako.
kawaida yakw ndo mwili wqke huo uliposikia ruge ulifikir ni mtu mzma saanaNimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
umejitakia mwenyewe kuombwa ufafanuzi...haya tufafanulie sasa!!Mapenzi ugonjwa mbaya kuliko cancer na ukimwi
DuuuhIshu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
umejitakia mwenyewe kuombwa ufafanuzi...haya tufafanulie sasa!!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144]Duuuh
mi adui zangu siwaombei kufa, bali nitawaua mwenyeweAaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Binamu maneno makali hayo punguza ukali wa manenoCancer ya ubongo
Kweli bila picha hii itakua ni chaihukufanikiwa kupata tupicha mkuu ushee nasi
Si kweli kama anaumwa anaumwa tu yeye na si kwa ajili eti ya mikopo au wafanyakazi,mbona boss wake anakula kuku Dubai na anazidi kuumuka,mwenye mali asiumwe wewe kibarua ndio uugue wapi na wapi banaPresha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.
Ni kicheko cha muda tuu... Anguko kuu linakujaMakonda anacheeeeka
ni muhaya mwenzake?Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
[emoji121]🤔ni muhaya mwenzake?
DuuuCancer ya ubongo