Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Kwa nn ndugu waingie kwenye mkumbo ilihali hawajui magonvi yenu.!!?
 
Kwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni
Umenena vyema kabisa Boss RUGE
 
Pole sana Ruge. Umefanya makubwa kwenye entertainment industry pengine kuliko kijana yoyote hapa Bongo. Mapungufu kila binadamu anayo hivyo tunapaswa kuangalia Zaidi mazuri.

Nina wasiwasi wachangiaji wengi humu ni watoto wadogo ndio maana wanajadili mambo ya ugonjwa kwa kejeli. Siku mkikutana na ya ulimwengu mtajifunza kuheshimu mtu anapokuwa kwenye wakati mgumu hata kama ni adui yako.
[emoji106]
 
nasikia jamaa kwa fimbo ni hatari..anasimsmia kucha,najua sifa zile hazitokani na nguvu za asili bali mitishamba ya kihaya...kama ni figo badi mitishamba inarejesha majibu
 
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
Duuuh
 
Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
mi adui zangu siwaombei kufa, bali nitawaua mwenyewe
 
Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.
Si kweli kama anaumwa anaumwa tu yeye na si kwa ajili eti ya mikopo au wafanyakazi,mbona boss wake anakula kuku Dubai na anazidi kuumuka,mwenye mali asiumwe wewe kibarua ndio uugue wapi na wapi bana
 
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
ni muhaya mwenzake?
 
Back
Top Bottom