Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds

Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
 
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa muhandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano lady jay dee na amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Muhandishi x mwandishi✓
 
Kwani alikuwa hawapi semina elekezi?
 
Jipu ndo Ushalipasua .....! Sidhani kama Kuna atakayebisha.

Hili Jambo Limetuondolea Vipaji kwenye Sanaa na tasnia Zingine!

We Fikiria Watu Kama Zembwela, Swebe, Masanja, na Wengine Wengi jinsi Walivyokuwa Wana fit kwenye Sanaa. Leo hii Ukiwauliza Wanakwambia mi ni Mtangazaji Redio so and so! Mi ni Mchambuzi TV So and So...Umesomea Wapi?
 
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa muhandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano lady jay dee na amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Sometimes talent beats school/college certificate holders. Kuna wasomi wengi ni bure kabisa katika utangazaji.
 
Sasa hao waandishi waliosomea ambao ni cut above ya hawa wasiojua kwanini wasiingie sokoni na kushindana na wasiojua ?

In this day and age ya Content on Demand na ya Citizen Journalists (yaani kila mwenye simu yake anaweza kutoa habari) Usitegemee mambo yaliyofanyika miaka ishirini iliyopita yafanyike sasa hivi..., Ukizingatia Habari nyingi zimekuwa majadiliano na opinions na kuhabarisha, uchambuzi umekuwa subjective na hata wanaohojiwa hawajibu tena maswali..., Na hio sio Bongo tu angalia hata kina Trump na Kamala walichokuwa wanaulizwa na wanachojibu ni usiku na mchana
 
Jipu ndo Ushalipasua .....! Sidhani kama Kuna atakayebisha.

Hili Jambo Limetuondolea Vipaji kwenye Sanaa na tasnia Zingine!

We Fikiria Watu Kama Zembwela, Swebe, Masanja, na Wengine Wengi jinsi Walivyokuwa Wana fit kwenye Sanaa. Leo hii Ukiwauliza Wanakwambia mi ni Mtangazaji Redio so and so! Mi ni Mchambuzi TV So and So...Umesomea ?
Bongo hivi kuongea tu vizuri unaweza kuwa mwandishi wa habari
 
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds

Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano lady jay dee na amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius

Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo

Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.

Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi

Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
 
Back
Top Bottom