Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

Kama kuna tasnia ambazo ziko taabani Mojawapo ni ya uandishi wa Habari na utangazaji.
Wamebaki kiwa machawa tu Basi!
Ni huzuni kwa kweli
 
Maza hivi karibuni alisema kuna jamaa amepiga Hela ndefu nchini kwenye taasi za fedha na kutokomea kusikojulikana.
Hiyo ingekuwa ni input , weledi wangeenda kuichimba ili kuharabarisha wananchi fedha zao zimeibiwaje wakati Tina mifumo ya udhibiti ??
Mbona haiingii akilini ?
Au kuna njama ? Collision?!

Je kuna walochukuliwa hatua stahiki ili kukomesha jambo hilo lisijirudie ?

Kimyaaa!
Na mambo mengine mengi tu
Ni huzuni kwa kweli .
 
Sasa hivi hakuna taarifa za kiuchunguzi,
Ni kusubiri wanasiasa waongee wadake maelezo waandike kwenye magazeti na kutangaza redioni.
Ni huzuni !
 
Kumbe clauds ni media ndogo apa tz!?!?
Ndogo wakati Ruge anaanza kuajiri none professional radio presenters wakati huo.
Hata sasa bado ina elements za kuwa media company ndogo.
Ulikuwa huwezi kuilinganisha na IPP media, Sahara media na TBC.
Sidhani kama utanielewa.
 
Watangazaji wa namna hiyo ndio serikali yako inawataka, ndio raia wengi wanawataka. Utangazi wa kupayuka na kelele nyingi ndio kitu pendwa kwa ndgu zako watanzania.

Wakifuata ethics za uandishi wa hahari wanafungua macho watu wengi hivyo haitakiwi hiyo, wataleata wanahabari za uchunguzi mwisho madudu ya serikali yaonekane, waache haohao chawa wa mama.
 
Back
Top Bottom