Ndio maana tuna chombo cha Taifa TBC; hao tunawapa Ruzuku na wanakula Pesa zetu kwahio huko ndio kuwe sehemu ya vitu serious na vya kufundisha vyenye ustawi no matter hata kama havina watazamaji hence kuweza kurushwa bila sponsors.
Point yangu sio kwamba mimi binafsi naangalia au nasikiliza redio / tv yoyote bali kwa sasa hivi sina uhitaji sababu naweza kupata habari yoyote wakati wowote as summary au kwa kuchagua wapi pa kuipata (huku nikielewa fika duniani sasa hivi 95 percent ya habari ni fake news) hivyo ninachuja mwenye kwa kutumia common sense na kufanya due dilligence (tukianza kuwapangia watu cha kusema ni kutoka kwenye reli so long as hicho wanachosema wanakisema ili mkono uende kinywani hivyo wanaangalia soko lao linataka nini)
That said ukiongelea kina BBC, na CNN hizo ni giant medias in the world kwahio kulinganisha na Bongo ni kupotoka sababu wanachukua creme de la creme dunia nzima; pia hata wao binafsi kuna saa wanazingua sababu media nyingi zimekuwa propaganda machines ambazo ni bias..., That said hata ulaya upuuzi ni mwingi, hizi Big Brother zilianzia Ulaya ambapo mtu na kazi zako unaangalia watu wamekaa kwenye nyumba...; au magazeti ya Udaku na Paparazi UK ndio ilikuwa kwao..., Ila ndio hivyo to each his/her own..., na so long as kuna choice I can always check what I want or not at all na kutafuta habari zangu mwenyewe....
Kina Clouds na Redio One walileta utofauti na ilikuwa a breath of fresh air kutoka kwenye TBC pekee (watu wakaanza kupata miziki bumper to bumper).., leo hii cable TV ina channels za kumwaga hata nyingine ni shopping channels kwahio hata wewe leo hii unaweza ukaongea na Cable TV au kina Azam Ukatafuta Sponsors ukaanzisha Channel yako ya kuonyesha paint drying.... (If anyone will watch it, that is another matter entirely)