Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Wapi nimesema uamini ujinga ? Hivi kati yangu mimi na wewe ambaye ameonyesha ujinga ni nani ? Wewe umeleta story za pundits wengi UK wamecheza mpira mimi nikakuonyesha kwamba ambao wamefanya better ni wale wenye talent ya social skills (mtu kama Paul Scholes can never make a good pundit) mtu kama Michael Owen ambaye sifa yake kuu ilikuwa kuongea Pumba au Kevin Keegan highly emotional they can never make good pundits no matter what...Endelea kuamini kwenye ujinga na kuidharau elimu
Sisi wengine tutaendelea kuamini kwemye professionalism
Nchi iko hivi kwa asilimia kubwa kwa sababu hakuna profesionalism
Nikaendelea kukuelewesha sasa hivi kuna Content on demand kwahio wewe kama mlaji kama utaendelea kula hayo unayoita makapi wakati kuna content bora hilo ni kosa lako binafsi... Na kuanza kuwapangia watu media zao jinsi ya kuondesha media zao wakati barrier of entry ya kuanzisha media sasa hivi ni almost negligent hio kwa lugha nyingine ni Police State na kurudi nyuma as of now sasa hivi Citizen Journalists ndio majority wa wahabarishaji duniani... Na dunia ishakua kijiji ukiona huko nje ndio kuna news worth consuming unaweza kufanya hivyo.... (Information at your Fingertips)