Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali kazi yake ni kufanya censorship zaidiTatizo ni Ruge au Serikali Yako?
Kwani Tasnia ya habari Haina regulations zinazoisimamia? au haipaswi kuwa regulated?
Lady Jide ni mwandishi wa habari by professionalZiko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano lady jay dee na amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius
Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo
Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.
Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi
Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Kitenge sio kwamba ni professional kabsa sio rahisi ITv kwa miaka 2010 waakajiri mtu asiye na kisomo cha hyo taaluma1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
Kitenge amesomea ile kazi. Aliifanya vizuri kwa weledi alipokuwa IPP Media.1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
Sio lazima watu wasomee uandishi wa habari ndio wawe waandishi wa habari ila ni muhimu kabla mtu hajawa muandishi wa habari kabisa ajifunze na kupata uzoefu angalau nusu mwaka katika media houseZiko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius
Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo
Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.
Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi
Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Diddah nilisoma sehemu alisomea Journalism chuo Cha DSJ miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2007 hapo kati.Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.
Jua kutofautisha habari na taarifa ya habari,kila mtu anajukumu la kupata na kusambaza habari,lakini sio kila mtu anajukumu la kupata taarifa ya habari na kusambaza.Sasa hao waandishi waliosomea ambao ni cut above ya hawa wasiojua kwanini wasiingie sokoni na kushindana na wasiojua ?
In this day and age ya Content on Demand na ya Citizen Journalists (yaani kila mwenye simu yake anaweza kutoa habari) Usitegemee mambo yaliyofanyika miaka ishirini iliyopita yafanyike sasa hivi..., Ukizingatia Habari nyingi zimekuwa majadiliano na opinions na kuhabarisha, uchambuzi umekuwa subjective na hata wanaohojiwa hawajibu tena maswali..., Na hio sio Bongo tu angalia hata kina Trump na Kamala walichokuwa wanaulizwa na wanachojibu ni usiku na mchana
Na huu ndio msingi hasa aliotumia katika kupanga team ya watangazaji wa Clouds kipindi hiko.Sometimes talent beats school/college certificate holders. Kuna wasomi wengi ni bure kabisa katika utangazaji.
YaaAnamaanisha hizo media zingine zenye viongozi wenye weledi kwanini waige mfumo wa Ruge wa media ndogo?
Hapo mwenye tatizo Ruge au walio iga kwake?
Kifupi wengine wajitathimini.
Yaani kama mtoa mada nimemuelewa vizuri hao wengine wameona kumbe inawezekana na mambo yakaenda kama alivyofanya ruge1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
FACT.Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds
Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka leo imeharibu tasnia ya habari vibaya mno unamuajiri mtu ambaye ni superstaa kuwa mwandishi wa habari ilihali hajawahi kusomea yaani hajui ABC za uandishi wa habari hata kidogo yaani hawana elimu mfano amina chifupa na aliendelea na huo utamaduni wa kuajiri watu masupstaa kama watangazaji ilihali hawana hio taaluma huku watu wakimsifia kuwa ni genius
Ruge mutahaba alitumia gharama kubwa sana kuondoa professionalism kwenye tasnia ya habari kwa kufikiria malengo ya mda mfupi na ku-ignore madhara ya mda mrefu ambayo tunayaona leo
Matokeo yake kuanzia miaka ya 2006's media nyingine zikaanza kuiga clouds mfano times baada ya kumuona marehemu dida anaigiza kaole wakamchukua kama mtangazaji marehemu dida ukimsikiliza unaona kabisa hapo kichwani ni empty ila ni mtangazaji hana ethics za uhandishi wa habari.
Miaka ya 2010's media nyingi zikaanza kufuata kile ruge alichoanzisha mwanzon mwa miaka ya 2000's mpaka tulipofika leo hii tuna wapiga kelele wengi unajiuliza masanja, ricardo momo, mpoki, n.k wamesomea uandishi wa habari wapi
Serikali ifanye namna irekebishe makosa ya ruge sababu yameivuruga sekta ya habari sana
Bongo tunakosea pia kufikiria mtu aliyesomea Journalism au Mass Communication tayari ni mwandishi wa habari anayeweza kuchambua na kuongelea kila kitu kunzia siasa, biashara hadi uchumi. Kama huyo Kitenge ilitakiwa abaki kwenye mipira ya Yanga na Simba tu au awe presenter tu lakini sio mchambuzi.Kitenge amesomea ile kazi. Aliifanya vizuri kwa weledi alipokuwa IPP Media.
Didah nilisoma mahali nae alisoma chuo cha Journalism miaka ya 2000 mwanzoni pamoja na muigizaji mwenzie Sinta.
Tangu saa 3 asubuh mpakapal usiku wa manae ni simba na yanga tuùuuu. Habar1. Baba levo, 2.Kitenge 3. Juma lokole, 4. Ricardo momo 5. Kitale 6. Mpoki etal
Ruge ni kama Lamata likija swala la uigizaji.Bongo hivi kuongea tu vizuri unaweza kuwa mwandishi wa habari