Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CEOHivi Kussaga alikuaga nani clouds?
mbona mapovuWewe ni aina flani ya wale wanafki wa maofisini au mtaani wanaopenda kujadili maisha ya watu kuliko maendeleo yao!!
Mtaa unao kaa hata mwenyekiti wako humjui lakini huku Unataka kumfahamu Ruge!!
usiulize fanya kaziWewe unafanya kazi gani?
hyo ndo biasharaa....ss unafkir yakimtaja ruge kutakua na uzto wa shughuli kwlSasa mbona matangazo yanawataja wasafi hawamtaji ruge ??
Duuuuuu ya kweli hayo?? Au ndio wahaya mmeanza kujipa promo km mtoa mada hapoRuge ndo kila kitu sishangai nilishaawaambiaga humu ruge akimtaka mondi ht bure shoo anafanya na hana uwezo wa kukataa...
huo ndo ukweliDuuuuuu ya kweli hayo?? Au ndio wahaya mmeanza kujipa promo km mtoa mada hapo
Mkuu ulishaingia kwenye blog ya wananchi ya le mutuz? unaona yale matangazo unajua analipwa shilingi ngapi? Huo ni mfano tu acha mambo mengine tusiyo yajuaMbona Le Mutuz yupo karibu na watu wa aina hiyo na hana mbele wala nyuma?!
hili la kuwa manager mkuu linaweza kuwa kweli....hao wengine ni boshen tuuhata Diamond are forever pale Mlimani city ilikuwa ya Cloud's fm.
Inasemakana....Inasemekana lakini Ruge ndio meneja mkuu wa Dimond.
mbona mapovu
Alikuwaga how mkuu, nasikia ndo mwenye hisa nyingi.Hivi Kussaga alikuaga nani clouds?
Nimegundua pia Kuna Vijana hewaAisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.
Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.
Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
HapanaaaaIko chini ya Vodacom acheni maneno
Ha haaaa ongeza nitakuja kulipaaaHivi Kussaga alikuaga nani clouds?
Ha haaaa ongeza nitakuja kulipaaa
poleI hate clouds fm