The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Sasa YY kuwa na familia ingesaidia NN jamii ?Eti jamaa wanamwita modal wao wakati hata familia tu hakuwa nayo, ukweli ni kuwa alikuwa anaishi kihuni full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes why not?Mkuu sina maana hiyo, lakini je anafaa/afatwe kuongoza jamii ya kitanzania kuishi maisha kama aliyoishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
Uhuni ni NN ?Hakuna mahala katiba imevunjwa, lakini hatuwezi kuwa taifa la watu waishio kihuni (samahani sina nia ya kumsema marehemu vibaya)
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni utumwa Kwa sababu unakuwa hauko huru kufanya utakalo, yaani mpaka mwenzi wako ushirikishe
Sio kwel mzee.Marrhemu hasemw mabaya yake binafsi amabayo hayana athari katika jamii.ila kama yameacha athari mbaya katika jamii,lazima yabainishwe.Ili watu wasiyafanye.Usitufunge kama mzeeeeeee.Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu
Hakuwabaka but most likely, alitumia nafasi yake!! Enzi na Smooth Vibes yake, akatumia nafasi yake kumlala Jide walipoenda South Africa kwenye tuzo! Kale ka-Nandy huenda kauchi kake angekabana endapo Ruge asingekuwa pale alipokuwa!Lakini hajawabaka , hao mengine si makubiano
La kwanza hadi form six kasoma bongo,Hizo ni standards ambazo zimewekwa na binadamu tu sijui ukifika umri fulani lazima uoe, Ruge kasoma Marekani na kama ujuavyo tatizo la divorcee lilivyo kubwa US esp ukiwa kwenye entertainment industry nadhani hiyo pia ilimuathiri.
Ukitaja rapper mmoja aliyeoa mimi nataja marapa watano ambao wako single
Ina maana Ruge alikuwa Rapper wa Kimarekani, au?! We ongea mengine bhana lakini hiyo hoja yako ni ya kitoto sana! Hakuna cha kusoma Marekani wala kuzaliwa Brooklyn!Hizo ni standards ambazo zimewekwa na binadamu tu sijui ukifika umri fulani lazima uoe, Ruge kasoma Marekani na kama ujuavyo tatizo la divorcee lilivyo kubwa US esp ukiwa kwenye entertainment industry nadhani hiyo pia ilimuathiri.
Ukitaja rapper mmoja aliyeoa mimi nataja marapa watano ambao wako single
Yes that's trueHakuwabaka but most likely, alitumia nafasi yake!! Enzi na Smooth Vibes yake, akatumia nafasi yake kumlala Jide walipoenda South Africa kwenye tuzo! Kale ka-Nandy huenda kauchi kake angekabana endapo Ruge asingekuwa pale alipokuwa!
Tangu kutokea msiba wake sifa lukuki zimekuwa zikitolewa kuhusu maisha na kazi zake ambazo nyingi ni za kweli. Lakini kama tujuavyo hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo ukitaka kumuelezea mtu halisi lazima na upande wa mapungufu yake uyagusie.
Kwangu mimi Ruge licha sifa zote , hakuwa mfano wa kuigwa kwa maisha ya kijana na nitaeleza sababu zaangu.
Ruge amefariki akiwa na umri wa miaka 49 lakini hakuwa na maisha ya familia, kwa maana ya mke na watoto.
Ameishi maisha ya kihuni yasiyofaa kuigwa kwa vijana wanaotafuta kuishi vizuri. Ruge angekuwa ni mtu aliyefanikiwa kimaisha, msiba wake ungekuwa nyumbani kwake na sio kwa wazazi wake.
Vijana wengi alioibua vipaji vyao japo wengi wamefanikiwa kupata pesa lakini wengi wao wanaishi maisha ya kihuni.
Ndoa zao zimeshindikana na wamekuwa watu wa kuonyesha vitendo vya aibu katika jamii. Hili nalo naweza kulihusisha na Ruge kwani mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake.
Zipo pia tetesi kuwa hata pale Clouds wafanyakazi wengi wanajihusisha na vitendo vya kishoga na kwa msemo wa kiswahili kuwa lisemwalo lipo, huenda likawa na ukweli ndani yake na Ruge akawa ni sehemu ya jamii hiyo.
Nimalize tu kwa kusema Ruge amejitahidi katika sehemu moja ya maisha na kufanikiwa, kiuchumi, ila upande wa pili wa maisha , kimaadili, hakufanikiwa hata kidogo.
Kama binadamu mwenye imani kiasi, namwombea kwa muumba wake aipumzishe roho yake mahali zinakopumzishwa roho zote , Amen
Umeongea vizuri sana ndio utamaduni wetu sote narudia ndio utamaduni baadhi ya watu wanajitahidi kuupoteza wengine huenda mbali na kuwa na roho mbaya kusema Mungu amuweke mahali anapojua sio sawa tumuombee kheri ndivyo ilivyoMarehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu