Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Na hakuna mtu asiependa kuoa ama kuolewa bali kunakuwa na vijimambo flani vinavyomfanya anashindwa kutangaza nia hasa kwa aina ya kazi anazofanya na aina ya watu anaokutana nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kunitukana ila kama hutaki kuoa lazima uwe na mission nyingine ila Ruge hakuna sababu ni mhuni asiye na maadili, finitowe mjinga maadili ni kuoa, kuwa na familia
inakuwaje wenye ukimwi wengi ni wanandoa?
badilisha mtazamo
unataka kusema Yesu hakuoa so hakuwa na maadili?
au mapadri hawana maadili?
mkapa kipindi anapewa nchi hakuwa na mke before
nadhan hauna backup data za kumwangalia Ruge upande wa pili
angalia tena upande wa pili...lakini sio kwa hoja hizi
Asante kwa kunitukana ila kama hutaki kuoa lazima uwe na mission nyingine ila Ruge hakuna sababu ni mhuni asiye na maadili, finito
nmecheka xn aisee, manusura nijinyeeee mieeBASATA njoo mumfungie Gulwa.
Mtu kuwa Role mode na mfano wa Kuigwa sio lazima aoe aisee... Kuna watu wapo busy na maisha kiasi kwamba anaona famili kuishi nayo ni nomaa lakini pia Hatujui nini kilifanya yeye Binafsi asioee na kama wanawake zake pengine walifata Pesa zake na jina bhasi so Akaona isiwe shidaa nitalitumikia Taifa tu inatoshaa.. Mwanaume hata akifika miaak 70 kama Kapuya ili mradi pesa unayo unaoaa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona Yesu ni role model wa baadhi ya watu hapa duniani na mpaka anaondoka duniani kwenda mbinguni kama maandiko yanavyosema hakuwa na mke wala demu.Gulwa hoja yako ni ya msingi sana. Ni ukweli usiopingika yapo mambo mazito ambayo hatupendi kuwa wakweli kuhusu upande wa pili wa huyu ndugu... Ukiangalia kwa undani upande wa pili 'leaves a lot to be desired' Mtu ambaye ana umri huo hana hata familia unajiuliza anawezaje kuwa role model? Watu wengi wanashabikia mambo bila kutafakari kwa undani. Hatuwezi kumhukumu maana hiyo ni kazi ya Mungu lakini ukiangalia hao vijana aliowasaidia wengi hawana msingi imara kama kiongozi wao alivyokua
Mkuu mbona Yesu ni role model wa baadhi ya watu hapa duniani na mpaka anaondoka duniani kwenda mbinguni kama maandiko yanavyosema hakuwa na mke wala demu.
.
Umenikumbusha wakati wa kampeni ya urais nadhani ni mwaka 2005, kuna mgombea urais mmoja kutoka chama cha upinzani alisemwa vibaya eti ni mhuni na hafai kuwa rais kwa vile hajaoa!Mkuu sina maana hiyo, lakini je anafaa/afatwe kuongoza jamii ya kitanzania kuishi maisha kama aliyoishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti za wabaya wake zimekuwa na nguvu zaidi kuliko sauti za rafiki zake ambao wanasifia mema/mazuri yake.
Kwani raisi ni nani Kila mtu uitwa jina kulingana na mahala alipo au cheo chake unadhani kwao jiwe anaitwa raisi Kama sio jina lake halisiInatakiwa ufungwe jela maana umetoa bandiko linaloudhi watu. Wewe jifikirie had rais kaumia kwa kifo cha ruge wewe ni nan usiumie nawaagiza polisi ufungwe jela maana hujaumia kwa kifo cha Mwana ccm ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
muongezee huyo na kijana mmoja alikua anaitwa jesus H christ....yani alikua na ushawishi mkubwa mnooo....na hakuwa na familia naye.......aliongea mambo tofauti na jamii inavyopenda, akachukiwa na kanisa ..akatengenezewe zengwe...akauwawa na kanisa lkagoma kumzika...aibu yaooooSteven foundries Apples 🍏
Edward Heath waziri mkuu wa Uingereza miaka ya 70
huyu kwasababu hajaoa ndio muhuni? hivi hizi threads tunazoziona humu kila siku za matatizo ya ndoa hua watu wanaosababisha ni ma bachelor, au hizi ndoa zinazovunjika kila siku ni za walio singo sio......acheni kufikiri ki binafsi...ama upo kwenye ndoa yenye utulivu shukuru na mtunze mwenzio lakini usikariri kwamba eti ukioa ama kuolewa ndio sio muhuni.....hizo ndoa ndio zina wahuni ambao ni wabaya kuliko ma singlez maana wao waliapa viapo vya kinafiki! gademu!Nimalize tu kwa kusema Ruge amejitahidi katika sehemu moja ya maisha na kufanikiwa, kiuchumi, ila upande wa pili wa maisha , kimaadili, hakufanikiwa hata kidogo.
Kama binadamu mwenye imani kiasi, namwombea kwa muumba wake aipumzishe roho yake mahali zinakopumzishwa roho zote , Amen
Dangote mwenyewe mpaka leo ajaoa .Watu wengi wenye mafanikio makubwa huwa hawaishi maisha yaliyozoeleka na jamii.
Marehemu hasemwi, kama una mabaya yake kaa kimya na kama una mazuri yake sema.. hatufanyi vyema kwa kutangaza mabaya ya watu