Tunakaribia kufika patamu na serikali itatangaza nia ya kutokuendelea na kesi hii.Namuona Ngereja akijutia kihehere chake cha kurudisha pesaMzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.
Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.
Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtemi Chenge hajarudisha na tena anasema hakuna wa kumgusa!Waliorudisha hawakuwa na kosa maana transactions zao zilifanyika electronically, wakati huku kwingine masandarusi yalihusika
Swali hilo huwezi kupata majibu!Lakini hii awamu chini ya Jemedari JPM imejimbanaua kupapambana na ufisadi, inakuaje tena bado kuna watu wanalindwa?!
kama upo serious basi hujamuelewa jamaa na kama na wewe unaongea lugha ya jamaa hongerawe jamaa ni mpumbav sana
Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.
Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.
Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ccm ni nini wewe mvivu wa kufikiri na kabla ya ccm na tanu kilikuwa na nini?Alafu ije kitu gani ikisambaratika?Panga mambo ya kesho leo usiwe mpumbavu!
Upo sawa mkuuMajizi na mafisadi ya CCM yatamuua huyu mzee kabla hajatoka gerezani. Ni bora awataje tu yeye mwenyewe.
Mkuu,huyo anajulikana ni mnywa maji ya CCM hivyo hawezi kuwa anafanya sarcasm hapa!kama upo serious basi hujamuelewa jamaa na kama na wewe unaongea lugha ya jamaa hongera
Chama cha mapinduzi pia ni mnufaikaKikwete Family&.Co
Mzee majina tayari yashatajwa bado kutangazwa tu kwa umma.Kwa wakati huu ndo tutajua kwamba kumbe wabaya wetu ndo walewaleChonde chonde wasije wakammalizia huko gerezani
Kwa sababu hana cha kupoteza tena ni bora angetaja hayo majina hata akimaliza safari yake duniani either kwa matakwa ya Mungu ama binadamu basi ukweli uwe umejulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha haya mkuu.Basi naona Ruge anakitafuta chama chake,ccm haiwezi ikawa imepitwa na mgao uleMkuu,huyo anajulikana ni mnywa maji ya CCM hivyo hawezi kuwa anafanya sarcasm hapa!
endelea kuotaNaiona ccm ikisambaratika
In God we Trust
Naiona ccm ikisambaratika
In God we Trust
Na hivi huu ni mwaka wa uchaguzi? yaani wadanganyika wajue ccm ndo fisadi mkuu then mwenyekiti wake aje kutuimbia nyimbo za anapambana na ufisadi harafu tuendelee kumsikiliza tuta prove sisi ni maitiRugemalira simuombei mabaya zaidi ya hayo yaliyomkuta ila naota umauti ukimkuta kabla kesi yake haijamalizika.
Naam,anaona anaonewa yeye tu wakati kuna nyomi wamebeba kwa sandarusi!Hahaha haya mkuu.Basi naona Ruge anakitafuta chama chake,ccm haiwezi ikawa imepitwa na mgao ule
Harvard graduate hagusiki, pale CCM hakuna mwenye akili ya kumgusa mtemi.Vipi yule Nyoka wa makengeza?
In God we Trust
wana options tatu,kumwachia huru,ccm kusambaratika au kumzulumu haki yake ya kuishi.na kwa ccm ninayoijua, option ya kumzulumu haki yake ya kuishi naipa nafasi kubwaMzee Ruge hana hatia.
Japo haki yaki inacheleweshwa lakini mwisho wa siku atakuwa huru