Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

johnthebaptist,
Sioni dalili za Rugemalira akitoa pesa ya bure kisa katishiwa bunduki au kufungwa ila naona dalili za serikali kutangaza kusudio la kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hii,Just mark my words.Kutaja majina na waliochukua pesa kwenye masandarusi ni kuiua CCM ambayo magufuli anataka ibaki pekee yake ikiendelea kuwanyonga wanyonge.
 
Mzee hajalipwa na bot...sasa why wamkamate.


Aliyelipwa na bot ni pap. Yeye singa singa kalipwa na pap pesa ya hisa zake.

Kuna majina makubwa yanalindwa yalichota feza za escrow

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakaribia kufika patamu na serikali itatangaza nia ya kutokuendelea na kesi hii.Namuona Ngereja akijutia kihehere chake cha kurudisha pesa
 
Chonde chonde wasije wakammalizia huko gerezani

Kwa sababu hana cha kupoteza tena ni bora angetaja hayo majina hata akimaliza safari yake duniani either kwa matakwa ya Mungu ama binadamu basi ukweli uwe umejulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee majina tayari yashatajwa bado kutangazwa tu kwa umma.Kwa wakati huu ndo tutajua kwamba kumbe wabaya wetu ndo walewale
 
Mkuu,huyo anajulikana ni mnywa maji ya CCM hivyo hawezi kuwa anafanya sarcasm hapa!
Hahaha haya mkuu.Basi naona Ruge anakitafuta chama chake,ccm haiwezi ikawa imepitwa na mgao ule
 
Pole Tata Ruge! Kwanini usiuseme ukweli unaoujua juu ya waliochota fedha za wananchi? Sio sahihi sana kukaa na Jambo ambalo wewe unaliona Siri ilihali kwa wengine lipo wazi! Kama Havana wa bot anayajua majina Basi siyo Siri Tena!

Wataje Tena kwa sauti kwani naamini una ushahidi wa kutosha! Huna unaloliogopa Wala kupoteza Bali kuwataja hadharani itakusaidia kuutua mzigo mzito ulioubeba moyoni na huenda ukapata nafuu ya ugonjwa wa moyo! Wataje hata Leo ili historian ikuhukumu kwa haki!
 
Rugemalira simuombei mabaya zaidi ya hayo yaliyomkuta ila naota umauti ukimkuta kabla kesi yake haijamalizika.
Na hivi huu ni mwaka wa uchaguzi? yaani wadanganyika wajue ccm ndo fisadi mkuu then mwenyekiti wake aje kutuimbia nyimbo za anapambana na ufisadi harafu tuendelee kumsikiliza tuta prove sisi ni maiti
 
Hahaha haya mkuu.Basi naona Ruge anakitafuta chama chake,ccm haiwezi ikawa imepitwa na mgao ule
Naam,anaona anaonewa yeye tu wakati kuna nyomi wamebeba kwa sandarusi!
Hao ni ukiachana na hawa tunaowajua akina Chenge,Anna Tibaijuka,Ngeleja Nk!
Hao waliobeba kwa Sandarusi hata majina yao hayakuwahi kuwekwa wazi,JPM naye anawalinda!
 
Back
Top Bottom