Si kweli!SINGA SINGA = RUGEMARILA
Shule zenyewe zilishafilisiwa. Kaachiwa moja tu na mishahara kwa watumishi wake ni Kama wanabet tu.!!Tibaijuka yeye alishasema atarudisha alizitumia kwa kujenga miundombinu ya shule yake
Halafu case yenyewe evidence wanazo mkononi,hawa wapelelezi wetu ni mamburula sana!Aliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaanisha kwenda Bandiko kachanganya majina badala ya RUGEMARILA kaandika SINGA SINGA; aliyeuza shares ni RUGEMARILASi kweli!
Wacha waanze kushikana uchawi ili ccm yao ipasuke maana hayati mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya ccm
In God we Trust
Sioni dalili za Rugemalira akitoa pesa ya bure kisa katishiwa bunduki au kufungwa ila naona dalili za serikali kutangaza kusudio la kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hii,Just mark my words.Kutaja majina na waliochukua pesa kwenye masandarusi ni kuiua ccm ambayo magufuli anataka ibaki pekee yake ikiendelea kuwanyonga wanyonge
Alishakataa kutoa pesa wale wengine walitoa na wameshatoka wao ni mpaka Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtemi huyu kuna kitu anaji amini, hata ukimwangalia body language yake ana ujasiri husio wa kawaida!! Watu watasema maneno chungu mzima mengi yakiwa ni ya kubuni tu lakini uki-check Mtemi wa watu anaonekana yuko as cool as cucumber.
Sasa wakifanya makosa ya kumfuata fuata nina hakika atafumua a Pandora box, sioni kama wahusika wanaweza kufanya such grave mistake.
Mtoto wake huyu mzee namuona kitaa tu anakula mibata hana hata chembe ya uwoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Diana, buzz word hapa ni: Nani anaweza kuwa na ujasiri wa kumfunga paka kengere hicho ndicho kinacho endelea kwenye sakata zima la ESCROW - mark my word mwisho wa siku watakubali yaishe bila yakutaja jina la mtu yeyote na Ruge aidha kuachiwa huru au kufanywa lolote ili wapoteze ushahidi - my opinon.Mtoto wake huyu mzee namuona kitaa tu anakula mibata hana hata chembe ya uwoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana ni za hatari sana maana jamaa anajifanya mbishi na mjuaji.Anaogopa ndiyo maana kakaa kimya
In God we Trust
Ukiwa na umri kama huo wa mzee Ruge unatakiwa kuwa na msimamo kama huo, maana kwa kawaida muda uliobakiza kuishi hapa duniani ni mchache. Heri uwaachie hizo fedha watoto wako.Aliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika
Sent using Jamii Forums mobile app
'ccm ni sawa na ukoo wa panya; baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi, mkwe mwizi, babu mwizi, bibi mwizi' By Mh. Nassari.Majizi na mafisadi ya CCM yatamuua huyu mzee kabla hajatoka gerezani. Ni bora awataje tu yeye mwenyewe.
Mimi nina wasi wasi kwamba hata Ruge akiwataja Mahakamani sioni kama vyombo vya habari vitakuwa na ujasuri wa kuchapicha majina kwenye magazeti yao aukwenye online TV, vile vile Hakimu anaweza kutupilia mbali ushauri wa Ruge wa kutaka kutaja majina ya watu walio gawana fedha za ESCROW - kesi nzima inaonekana ni political dynamite - kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi naona watakubali yaishe kimya kimya without offending anyone - my opinion.
Mkuu inaonekana ni za hatari sana maana jamaa anajifanya mbishi na mjuaji.
HaahahahahahahahahAliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika
Sent using Jamii Forums mobile app