Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

Aliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu case yenyewe evidence wanazo mkononi,hawa wapelelezi wetu ni mamburula sana!
 
Alishakataa kutoa pesa wale wengine walitoa na wameshatoka wao ni mpaka Mwisho
Wacha waanze kushikana uchawi ili ccm yao ipasuke maana hayati mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya ccm

In God we Trust
Sioni dalili za Rugemalira akitoa pesa ya bure kisa katishiwa bunduki au kufungwa ila naona dalili za serikali kutangaza kusudio la kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hii,Just mark my words.Kutaja majina na waliochukua pesa kwenye masandarusi ni kuiua ccm ambayo magufuli anataka ibaki pekee yake ikiendelea kuwanyonga wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajiita Nyoka wa makengeza, alishasema kuwa wanaweza kumkamata lkn siyo kumfunga maana hawataweza.
Mtemi huyu kuna kitu anaji amini, hata ukimwangalia body language yake ana ujasiri husio wa kawaida!! Watu watasema maneno chungu mzima mengi yakiwa ni ya kubuni tu lakini uki-check Mtemi wa watu anaonekana yuko as cool as cucumber.

Sasa wakifanya makosa ya kumfuata fuata nina hakika atafumua a Pandora box, sioni kama wahusika wanaweza kufanya such grave mistake.

In God we Trust
 
Mtoto wake huyu mzee namuona kitaa tu anakula mibata hana hata chembe ya uwoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Diana, buzz word hapa ni: Nani anaweza kuwa na ujasiri wa kumfunga paka kengere hicho ndicho kinacho endelea kwenye sakata zima la ESCROW - mark my word mwisho wa siku watakubali yaishe bila yakutaja jina la mtu yeyote na Ruge aidha kuachiwa huru au kufanywa lolote ili wapoteze ushahidi - my opinon.
 
Aliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na umri kama huo wa mzee Ruge unatakiwa kuwa na msimamo kama huo, maana kwa kawaida muda uliobakiza kuishi hapa duniani ni mchache. Heri uwaachie hizo fedha watoto wako.
 
Majizi na mafisadi ya CCM yatamuua huyu mzee kabla hajatoka gerezani. Ni bora awataje tu yeye mwenyewe.
'ccm ni sawa na ukoo wa panya; baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi, mkwe mwizi, babu mwizi, bibi mwizi' By Mh. Nassari.
 
Inawezekana pia
Mimi nina wasi wasi kwamba hata Ruge akiwataja Mahakamani sioni kama vyombo vya habari vitakuwa na ujasuri wa kuchapicha majina kwenye magazeti yao aukwenye online TV, vile vile Hakimu anaweza kutupilia mbali ushauri wa Ruge wa kutaka kutaja majina ya watu walio gawana fedha za ESCROW - kesi nzima inaonekana ni political dynamite - kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi naona watakubali yaishe kimya kimya without offending anyone - my opinion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliambiwa atoe pesa Kama wenzake akagoma.! Sasa wanakwenda nyama kwa nyama ameshasema Hana cha kupoteza so kesi iendelee mpaka mwisho na gerezani akae tu.
INAUMA SANA. upelelezi miaka 2 haujakamirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahahahahahahahah

Eti inauma sana upelelezi miaka 2 haujakamilika. Masheikh upelelezi wao miaka 7 sasa haujakamilika
 
Jamaa inaelekea anajua ni mapapaa gani walichukua ile pesa wamemwaga mboga anataka amawage ugali.

Anasema anashangaa yeye kwanini yuko ndani wakati hakuchukua hata senti kutoka kwenye ile akaunti (Hapa inaelekea alipata mgao lakini sio direct kutoka wenye ile akaunti).

Sasa anataka Gavana awataje waliochukua pesa. Gavana kasema sheria haimruhusu Rugemarila kaiandikia Mahakama itoe order kwa gavana kufanya hivyo.

Ngoma inogire
 
Back
Top Bottom