Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Kwamba mwalimu wa Tanga awezi kuuwa mtu Rukwa..[emoji38][emoji38][emoji38]
umejichanganya inaitwa slow lenaner
 
Dah! Mwalimu ni wa sekondari Tanga kaenda kuuwa mkoa wa Rukwa Hala yeye akaenda kujinyonga mkoa wa Katavi. Au Mimi ndio sijaelewa
 
Bahati mbaya kuua sio kazi yao, wenye kazi zao huwa sio issue sana kuukwepa mkono wa dola. Hawa wengi wakishatoa roho majuto huanza na mjukuu huzaliwa.
Wanauana kindezi sana asiee.

Jitu limeua limeshindwa kucontrol hisia nalo limejiua sasa sijui duniani lilikua kutromb*n tu.
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Kosa liko wap hapo ...we ndo unaonekana una upeo mdogo wa kuchanganua mambo
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Wewe ndio hujaelewa,hao ni wakazi wa Tanga,Shule zimefunga wakasafiri kwenda huko Rukwa na kufikia Gesti kisha Mwalimu Mwanaume akamuua mkewe kisha akakimbilia Katavi nae akajitundika,sioni kosa hapo
 
Dah! Mwalimu ni wa sekondari Tanga kaenda kuuwa mkoa wa Rukwa Hala yeye akaenda kujinyonga mkoa wa Katavi. Au Mimi ndio sijaelewa
Hujaelewa nini, kufanya kazi Tanga siyo lazima uwe mwenyeji wa tanga, unaweza tokea popote duniani.
 
Yaani huyo mwalimu ameacha mabinti wote wa kitanga hadi ameamua aue kisa "shimo" tu serious.
Any way nafasi ya kazi ya ualimu ipo wazi vijana chap kachukueni chansi.
 
hivi na mimi nitakuja kujinyonga kisa mke wangu kagongwa na mwanaume mwingine?[emoji848]
Ukiwekeza sana ukijitoa sana hadi tone la mwsho afu mtu achepuke unaeza ua...

Cha muhimu dada zetu nadhan mashaona wanaume sio ka nyie wanawake wanaume wakisalitiwa kama walikua wanapenda kweli hawaishii kulia wanakwenda mbali kama hvi tulivoona matukio ya hv karibuni..

So dada zetu please ukipata kidume kingine huko usichanganye habari ni hatari watu wamevurugwa
 
Back
Top Bottom