Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Kuna maumivu fulani hivi mtu unayapata ukisalitiwa.Usipokuwa makini unaua.
Hivi vifo wanawake huwa wanajitakia wenyewe.
Nilishawahi nusurika kufanya tukio kama hii la kutaka kusambaratisha mke. Tena ukiwa kwenye hayo maumivu na hasira ukijumlisha na majibu ya nyodo toka kwa huyo Mkeo, Hapo ndio kusudio la kuwaza kuua linapotokea. Kwa wale tuliowawezesha wanawake kiuchumi hii kitu ni heri isikukute maana unaweza kuuwa kirahisi.

Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni, kwa namna atavyokujibu ndio anavyoweza kukuongezea hasira. Ukioa mwanamke myenyekevu wala huwezi fikia hatua ya kuua, maana Binti atajishusha na ndio pona yake inapotokea.
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Ndivyo ilivyo hajakosea kitu.
 
Huyo jamaa kaua ndio anaongea hivyo very comfortable hivyo.? Kama ni kweli huyo mwanamke ni kama alikua anakitafuta cha mtema kuni ila kapata cha mtema gogo(panda tukupandishe)

Kila nikisiliza hiyo voice nashindwa kuelewa jamaa kajiua nayeye au yuko hai bado. Inachanganya
Jamaa kajiua alisambaza voice note kwa mashemeji zake I naelekea walikuwa Wana jua mgogoro wao
 
Wanaacha watoto wanateseka, kisa kuendekeza upuuzi wa kuuana.

Kwani mke/mume mmezaliwa mmeungana kwamba hamuwezi kutenganishwa?

Ifike sehemu tutambua kama ambavyo uhai una mwisho basi na mapenzi yana mwisho, yakifika mwisho kwa namna yeyote tukubaliane na hali halisi na kuendelea na maisha mengine.
Kwakweli sikatai alichofanya ni jambo la upumbavu tena sana. Ila ukitaka kujua uchungu wake, wekeza kwa mwanaume wako na kwakazi aliyoajiriwa huyo mwalimu tambua alijitoa sana ili kuitunza familia yake. Halafu huyo mwanaume uliewekeza kwake akugeuke tena kwa kujificha hivyo anajua ni kosa tena linamuumiza mwenziye sana lakini hakusita wala kujali bali akaendelea kulitenda. Jua amedharau na kuzikanyaga kila tone la jasho ulilolitoa kwaajili ya familia yenu. It's not easy and never easy na mwanamke kamwe hataweza kuujua uchungu wa mwanaume katika hili jambo kama vile mwanaume asivyoweza jua uchungu anaopitia mwanamke kipindi cha kujifungua. Sijustify alichokifanya maana amekosea sana tena sana ila kama ni mwanamke usijaribu tena hata usijaribu kuvaa viatu vya mwanaume maana hautaelewa. Ninachosisitiza tu, "Ndoa naiheshimiwe na watu wote".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Sasa si angegawa kwanza Figo zake kwa wahitaji ndio ajiue, watu wenye roho mbaya hawajaisha wallah!
 
Na
Kwakweli sikatai alichofanya ni jambo la upumbavu tena sana. Ila ukitaka kujua uchungu wake, wekeza kwa mwanaume wako na kwakazi aliyoajiriwa huyo mwalimu tambua alijitoa sana ili kuitunza familia yake. Halafu huyo mwanaume uliewekeza kwake akugeuke tena kwa kujificha hivyo anajua ni kosa tena linamuumiza mwenziye sana lakini hakusita wala kujali bali akaendelea kulitenda. Jua amedharau na kuzikanyaga kila tone la jasho ulilolitoa kwaajili ya familia yenu. It's not easy and never easy na mwanamke kamwe hataweza kuujua uchungu wa mwanaume katika hili jambo kama vile mwanaume asivyoweza jua uchungu anaopitia mwanamke kipindi cha kujifungua. Sijustify alichokifanya maana amekosea sana tena sana ila kama ni mwanamke usijaribu tena hata usijaribu kuvaa viatu vya mwanaume maana hautaelewa. Ninachosisitiza tu, "Ndoa naiheshimiwe na watu wote".

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndoa itaheshimiwa vipi ikiwa wanandoa wenyewe hawajui kujiheshimu?
 
wanawake mlio kwenye mahusiano chukueni tahadhari sana, nawashauri kama unajiona huwezi kuishi bila kuchepuka bora ujiondoe mara moja kwenye mahusiano vinginevyo umauti utakukuta.

Usaliti na kutokuaminiana kwenye mahusiano kimekuwa chanzo kikubwa cha mauaji, inatisha sana.
kama hatua za kujirwkebisha tabia zetu hazitochukuliwa basi tutendelea kushuhudia mauaji ya aina hii kila kukicha.

Chagua moja kati ya haya;

1. Kaa kwenye mahusianao kwa uaminifu au

2. kaa kwenye mahusiano kwa udanganyifu kisha uishie kuuwawa.

kama huna uaminifu kwenye mahusiano ni bora ukajinasua mapema kuliko kung'angania.
 
Wadada ambao siyo waaminifu,mi nawashauri tu wawe single mothers tu,hii itafanya maex wote wawe na haki sawa,kuliko hii unaolewa,halafu unakua unamegwa na maex,sasa kwanini unaolewa?maex wanakugonga,halafu wanaoa wanawake wengine,na wakitaka kukugonga,wanakuja,sasa kwanini usiwe singo tu?Ila mambo haya bhana.
 
NA AJITOLEE MWANAHARAKATI MMOJA WA HAKI ZA WANAWAKE, AENDE KUZIMU HUKO KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASALITI.
 
Mi naona bora mtu uwe single mother tu,kuliko kuolewa,wakati uhuni bado unautaka,mbaya zaidi unamkashifu mtu kwa kumtaja ex wako,matokeo yake ndiyo hayo,nashangaa rafiki yangu kama Dunia,anashangaa,bora rafiki yangu kama Kasunga kabaki analaumu wanawake.All in all R.I.P
Tatizo jamii inalazimisha sana watu kuingia kwenye ndoa

Bila ndoa baadhi ya watu,hasa wanawake,wanaonekana kama ni kasoro kumbe si kweli
 
Hivi vifo wanawake huwa wanajitakia wenyewe. Nilishawahi nusurika kufanya tukio kama hii la kutaka kusambaratisha mke, Tena ukiwa kwenye hayo maumivi na hasira ukijumlisha na majibu ya nyodo toka kwa huyo Mkeo, Hapo ndio kusudio la mtu kuwaza kuua linapotokea. Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni, kwa namna atavyokujibu ndio na maamuzi ya mwanaume yatavyosababisha tukio.

Ukioa mwanamke myenyekevu, Mwanaume wala huwezi fikia hatua ya kuua, maana Binti atajishusha na ndio pona yake inapotokea.
Ni kweli wanawake wanakera sana na majibu yao na kelele zao, mm ma ex wife aliniambia nisimbabaishe anatongozwa wakati tunagombana, lile jibu lake lilinitafakariaha sana, nikamdivorce.
Kwa hiyo pamoja na kero zao, ni muhimu sana kiyatazama mambo kwa upana wake
 
wanawake mlio kwenye mahusiano chukueni tahadhari sana, nawashauri kama unajiona huwezi kuishi bila kuchepuka bora ujiondoe mara moja kwenye mahusiano vinginevyo umauti utakukuta.

Usaliti na kutokuaminiana kwenye mahusiano kimekuwa chanzo kikubwa cha mauaji, inatisha sana.
kama hatua za kujirwkebisha tabia zetu hazitochukuliwa basi tutendelea kushuhudia mauaji ya aina hii kila kukicha.

Chagua moja kati ya haya;

1. Kaa kwenye mahusianao kwa uaminifu au

2. kaa kwenye mahusiano kwa udanganyifu kisha uishie kuuwawa.

kama huna uaminifu kwenye mahusiano ni bora ukajinasua mapema kuliko kung'angania.

Iwapo na Mume naye anakuwa ametulia na kuwa mwaminifu ya kwamba hachepuki.

Lakini kama naye anachepuka ni bora kuachana kama mnaona hamuwezi kuvumiliana!
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Kakosea nini mkuu?
 
Wewe ndio hujaelewa,hao ni wakazi wa Tanga,Shule zimefunga wakasafiri kwenda huko Rukwa na kufikia Gesti kisha Mwalimu Mwanaume akamuua mkewe kisha akakimbilia Katavi nae akajitundika,sioni kosa hapo
Mke alikuwa anafanya kazi Katavi mume anafanya kazi Tanga tech, Rukwa walienda kusalimia baba mkwe. Wote walikuwa ni wahandisi ujenzi.
 
Back
Top Bottom