kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,
Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]
Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Makosa yapo wapi ama wewe nae una stress za ualimu mzee endelea kusoma chin ndo utaelewa