Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Watanga wamefikia huku kama watani zangu wala wuwuwu....
 
Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
 
Attachments

  • IMG-20220730-WA0003.jpg
    IMG-20220730-WA0003.jpg
    86.5 KB · Views: 13
  • AUD-20220730-WA0004.ogg
    AUD-20220730-WA0004.ogg
    838 KB
Mi naona bora mtu uwe single mother tu,kuliko kuolewa,wakati uhuni bado unautaka,mbaya zaidi unamkashifu mtu kwa kumtaja ex wako,matokeo yake ndiyo hayo,nashangaa rafiki yangu kama Dunia,anashangaa,bora rafiki yangu kama Kasunga kabaki analaumu wanawake.All in all R.I.P
 
Siku hizi kesi za mauaji kisa mahusiano zekuwa nyingi na hivi ninavyochezea dada za watu mpka naogopa wasije nidhuru
 
Wanaacha watoto wanateseka, kisa kuendekeza upuuzi wa kuuana.

Kwani mke/mume mmezaliwa mmeungana kwamba hamuwezi kutenganishwa?

Ifike sehemu tutambua kama ambavyo uhai una mwisho basi na mapenzi yana mwisho, yakifika mwisho kwa namna yeyote tukubaliane na hali halisi na kuendelea na maisha mengine.
 
Huyo jamaa kaua ndio anaongea hivyo very comfortable hivyo.? Kama ni kweli huyo mwanamke ni kama alikua anakitafuta cha mtema kuni ila kapata cha mtema gogo(panda tukupandishe)

Kila nikisiliza hiyo voice nashindwa kuelewa jamaa kajiua nayeye au yuko hai bado. Inachanganya
 
Jamaa kajiua nayeye.
 
tutawatafuta wote wanao kusudia kujiuwa na kuuwa wapenzi wao, kupitia askari wetu tutawatambua mapema na tutawasweka ndani baadae mahakamani kujibu tuhuma zao..Alisikika mkuu mmoja wa police mikoani huko!
 
Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Wapi na lini
Juzi ilitokea Kaliua ikihusisha mume na mke waliotoka Tanga
 
Ukiachilia mbali stress za nyongeza ya mshahara maisha magumu nk . Kuna haja ya serikali kutahadharisha watu juu ya hasira za waalimu huku mitaani, juzi ticha mmoja kapasua chupa muhudumu wa bar kisa chenji 2000.
Kha!,2000 kweli ndio umpasue mtu?!,Duh!,hatari sana.
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Tatizo nini, liweke na wengine tuone.
 
Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Hata watoto hamkuwajali! Laana gani hii!
 
Back
Top Bottom