Ukiwa haujaujua ukweli unaweza sema wanaume ni makatili na waonevu. Kumbe Dah kuna mambo hawa watu huwa wanafanya hadi unatamani ungemsaidia jamaa wakati wa kunyonga......Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Tanga technical schoolMbna maelezo yanasema kuwa ni mwalim wa Secondary?? Mbna unataka kutuchanganya Sana mkuu!? Secondary sku hiz wanafundshwa na wahandisi?
Hii alirekodi masaa machache baada ya taarifa za mwanamke kuuwawa ziliposambaa. Na jamaa akarekodi kujitetea ili asijeonekana alikuwa amefanya ukatili kwasababu kaamua tu.Huyo jamaa kaua ndio anaongea hivyo very comfortable hivyo.? Kama ni kweli huyo mwanamke ni kama alikua anakitafuta cha mtema kuni ila kapata cha mtema gogo(panda tukupandishe)
Kila nikisiliza hiyo voice nashindwa kuelewa jamaa kajiua nayeye au yuko hai bado. Inachanganya
Mahusiano sio jambo la kuingia na kutoka kama unakwenda chooni.wanawake mlio kwenye mahusiano chukueni tahadhari sana, nawashauri kama unajiona huwezi kuishi bila kuchepuka bora ujiondoe mara moja kwenye mahusiano vinginevyo umauti utakukuta.
Usaliti na kutokuaminiana kwenye mahusiano kimekuwa chanzo kikubwa cha mauaji, inatisha sana.
kama hatua za kujirwkebisha tabia zetu hazitochukuliwa basi tutendelea kushuhudia mauaji ya aina hii kila kukicha.
Chagua moja kati ya haya;
1. Kaa kwenye mahusianao kwa uaminifu au
2. kaa kwenye mahusiano kwa udanganyifu kisha uishie kuuwawa.
kama huna uaminifu kwenye mahusiano ni bora ukajinasua mapema kuliko kung'angania.
Sio wanalazimisha huo ni utaratibu wa maisha. Kama haijui maana na msingi wa ndoa kaa kimya acha kutetea ujinga.Tatizo jamii inalazimisha sana watu kuingia kwenye ndoa
Bila ndoa baadhi ya watu,hasa wanawake,wanaonekana kama ni kasoro kumbe si kweli
Ushauri wa ovyo kabisaSasa si angegawa kwanza Figo zake kwa wahitaji ndio ajiue, watu wenye roho mbaya hawajaisha wallah!
Wa maana ni upi?Ushauri wa ovyo kabisa
Lakini pia na wap wasijifosi kufanya mapenzi wala kuwa na mahusiano. Maana ndipo shida inapoanzia.Watu wasifosiwe kuingia kwny ndoa
Wanaume wenyewe ndiyo hawa wanaokuja kujisifia kuchukuwa wake za watu humu kwenye jf.Iwapo na Mume naye anakuwa ametulia na kuwa mwaminifu ya kwamba hachepuki.
Lakini kama naye anachepuka ni bora kuachana kama mnaona hamuwezi kuvumiliana!
Jamaa ana moyo sana aiseee. Halafu anaonekana alikuwa amefocus kujenga maisha na mwanamke wake ila mwanamke alikuwa mdangaji.Neskiliza hizi voice notes, kwakweli mwamba alikua mwamme mvumilivu
Yaani kuna wanawake wanatamani kupata type za jamaa mwingine anakuwa kichwa maji... Jamaa alikua serious na maisha, kama aliona jamaa hamridhishi bora angesema mapema sio kila akiulizwa anasisitiza harusi huku tabia mbovuJamaa ana moyo sana aiseee. Halafu anaonekana alikuwa amefocus kujenga maisha na mwanamke wake ila mwanamke alikuwa mdangaji.
Mkuu mbona hizo audio nikipakua nakuta kitu kingine kabisa natamani nisikie alichosema mwl. Ni pekee ndo napata changamoto hiyo ama?Yaani alikua mvumilivu hasa,yaani anaambiwa kabisa ntalala na flani,anasikiliza tu?Halafu angekua na subira,angesubiri wako na Deus,halafu afanye attack moja amazing..,huyo Deus atahamishwa tu kwa usalama wake,halafu huko atakakokwenda,ataendelea na maex wake.
Anamaanisha msambwanda!![emoji23][emoji23]Mean?
Jamaa na mkewe wote walisoma ATC ki ukweli jamaa alikuwa mpole sana wote na mkewe.
Kumbe unawajua
Haya walazimisheni waendelee kunyonganaSio wanalazimisha huo ni utaratibu wa maisha. Kama haijui maana na msingi wa ndoa kaa kimya acha kutetea ujinga.
Wewe unaunga mkono watoto wanaozaliwa hovyo Wanaishi kinguruwe nguruwe , baba jalalani mama chooni mtoto kichochoroni?!
Usiseme jamii inalazimisha huo ndio utaratibu. Ingekuwa wasiotaka ndoa wanakwenda kuwa mapadre na masista hapo sawa. Tusingekuwa na kizazi cha hovyo cha watoto wanaokengeuka akili.
Ila kwasasa tunapitia wakati mgumu sana sababu ya haya maisha ya malezi ya nje ya ndoa. Kuna madhara makubwa sana kwa watoto kuzaliwa na kulelewa nje ya ndoa.
Kwa nini haya mauaji ya mapenzi yanatokea zaidi bara kuliko Pwani??