Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Ukiwa haujaujua ukweli unaweza sema wanaume ni makatili na waonevu. Kumbe Dah kuna mambo hawa watu huwa wanafanya hadi unatamani ungemsaidia jamaa wakati wa kunyonga......
 
Huyo jamaa kaua ndio anaongea hivyo very comfortable hivyo.? Kama ni kweli huyo mwanamke ni kama alikua anakitafuta cha mtema kuni ila kapata cha mtema gogo(panda tukupandishe)

Kila nikisiliza hiyo voice nashindwa kuelewa jamaa kajiua nayeye au yuko hai bado. Inachanganya
Hii alirekodi masaa machache baada ya taarifa za mwanamke kuuwawa ziliposambaa. Na jamaa akarekodi kujitetea ili asijeonekana alikuwa amefanya ukatili kwasababu kaamua tu.

Kimsingi jamaa alikuwa ameshikwa pabaya na mwanamke majibu yake alimfanya acahanganyikiwe na kuamua kumalizana nae.
 
wanawake mlio kwenye mahusiano chukueni tahadhari sana, nawashauri kama unajiona huwezi kuishi bila kuchepuka bora ujiondoe mara moja kwenye mahusiano vinginevyo umauti utakukuta.

Usaliti na kutokuaminiana kwenye mahusiano kimekuwa chanzo kikubwa cha mauaji, inatisha sana.
kama hatua za kujirwkebisha tabia zetu hazitochukuliwa basi tutendelea kushuhudia mauaji ya aina hii kila kukicha.

Chagua moja kati ya haya;

1. Kaa kwenye mahusianao kwa uaminifu au

2. kaa kwenye mahusiano kwa udanganyifu kisha uishie kuuwawa.

kama huna uaminifu kwenye mahusiano ni bora ukajinasua mapema kuliko kung'angania.
Mahusiano sio jambo la kuingia na kutoka kama unakwenda chooni.

Unasemaje kama ajiondoe mapema?! Mtu wameshaingia wamepanga maisha, wana mtoto/watoto, wamewekeza, wana mali pamoja, sasa aache vyote hivyo sababu ameshindwa kutuliza bichwa lake kama flampeni la mama Isuja.
 
Tatizo jamii inalazimisha sana watu kuingia kwenye ndoa

Bila ndoa baadhi ya watu,hasa wanawake,wanaonekana kama ni kasoro kumbe si kweli
Sio wanalazimisha huo ni utaratibu wa maisha. Kama haijui maana na msingi wa ndoa kaa kimya acha kutetea ujinga.

Wewe unaunga mkono watoto wanaozaliwa hovyo Wanaishi kinguruwe nguruwe , baba jalalani mama chooni mtoto kichochoroni?!

Usiseme jamii inalazimisha huo ndio utaratibu. Ingekuwa wasiotaka ndoa wanakwenda kuwa mapadre na masista hapo sawa. Tusingekuwa na kizazi cha hovyo cha watoto wanaokengeuka akili.

Ila kwasasa tunapitia wakati mgumu sana sababu ya haya maisha ya malezi ya nje ya ndoa. Kuna madhara makubwa sana kwa watoto kuzaliwa na kulelewa nje ya ndoa.
 
Iwapo na Mume naye anakuwa ametulia na kuwa mwaminifu ya kwamba hachepuki.

Lakini kama naye anachepuka ni bora kuachana kama mnaona hamuwezi kuvumiliana!
Wanaume wenyewe ndiyo hawa wanaokuja kujisifia kuchukuwa wake za watu humu kwenye jf.

Laiti yule jamaa mwingine angekuwa na busara angenyamaza tu na siyo kutoa jeuri kivile na ndiyo maana ilimzidishia hasira.
 
Jamaa ana moyo sana aiseee. Halafu anaonekana alikuwa amefocus kujenga maisha na mwanamke wake ila mwanamke alikuwa mdangaji.
Yaani kuna wanawake wanatamani kupata type za jamaa mwingine anakuwa kichwa maji... Jamaa alikua serious na maisha, kama aliona jamaa hamridhishi bora angesema mapema sio kila akiulizwa anasisitiza harusi huku tabia mbovu
 
Yaani alikua mvumilivu hasa,yaani anaambiwa kabisa ntalala na flani,anasikiliza tu?Halafu angekua na subira,angesubiri wako na Deus,halafu afanye attack moja amazing..,huyo Deus atahamishwa tu kwa usalama wake,halafu huko atakakokwenda,ataendelea na maex wake.
Mkuu mbona hizo audio nikipakua nakuta kitu kingine kabisa natamani nisikie alichosema mwl. Ni pekee ndo napata changamoto hiyo ama?
 
Sio wanalazimisha huo ni utaratibu wa maisha. Kama haijui maana na msingi wa ndoa kaa kimya acha kutetea ujinga.

Wewe unaunga mkono watoto wanaozaliwa hovyo Wanaishi kinguruwe nguruwe , baba jalalani mama chooni mtoto kichochoroni?!

Usiseme jamii inalazimisha huo ndio utaratibu. Ingekuwa wasiotaka ndoa wanakwenda kuwa mapadre na masista hapo sawa. Tusingekuwa na kizazi cha hovyo cha watoto wanaokengeuka akili.

Ila kwasasa tunapitia wakati mgumu sana sababu ya haya maisha ya malezi ya nje ya ndoa. Kuna madhara makubwa sana kwa watoto kuzaliwa na kulelewa nje ya ndoa.
Haya walazimisheni waendelee kunyongana
 
Sasa ndio amepata nini ? [emoji2369]

Mtoto akijaanza kujitambua na kuelezwa kuwa mama yako aliuawa na baba yako hivi itakuwaje?

Kwanini utake kuharibu kizazi chako ewe Mwanaume?

Kwanini usiachane naye huyo mwanamke?

Kama hakutaki Kwanini ulazimishe ?
 
Kwa nini haya mauaji ya mapenzi yanatokea zaidi bara kuliko Pwani??



Wa Pwani ni waungwana sana.

Wananguvu na uwezo wa kukabiliana na issues nzito bila kusababisha madhara, uharibifu na mauaji.

Wanajua huwezi shindana na ulikotokea.

Wana hekima jinsi ya ku-deal na issues nzito bila kusababisha madhara na mauaji.

Wanajua kuwa na subira juu ya mitihani.

Hawanaga ulimbukeni wa mapenzi.

Wanajua kupima kwa mbele matokeo ya maamuzi kabla ya kuamua.

Wanajua hasira hukaa kifuani pa Mpumbavu (Imeandikwa hivyo).

Wanajua kumuacha mwanamke Kwa kumstukiza ni adhabu kubwa sana inayojitosheleza.

Wanajua ukiendelea kuishi utapata mbususu tamu na nzuri mtakayoweza kusikilizana na kuaminiana kuliko kujiangamiza.

N.k.
 
Back
Top Bottom