Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ukiwa haujaujua ukweli unaweza sema wanaume ni makatili na waonevu. Kumbe Dah kuna mambo hawa watu huwa wanafanya hadi unatamani ungemsaidia jamaa wakati wa kunyonga......Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.