Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Wewe ndio hujaelewa,hao ni wakazi wa Tanga,Shule zimefunga wakasafiri kwenda huko Rukwa na kufikia Gesti kisha Mwalimu Mwanaume akamuua mkewe kisha akakimbilia Katavi nae akajitundika,sioni kosa hapo
bado ana hanghover
 
Neskiliza hizi voice notes, kwakweli mwamba alikua mwamme mvumilivu
Yaani alikua mvumilivu hasa,yaani anaambiwa kabisa ntalala na flani,anasikiliza tu?Halafu angekua na subira,angesubiri wako na Deus,halafu afanye attack moja amazing..,huyo Deus atahamishwa tu kwa usalama wake,halafu huko atakakokwenda,ataendelea na maex wake.
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Tatizo liko wapi Mkuu ?
 
Lazima watu tujifunze ku control hasira za papo hapo. Huyu itakuwa hasira zilifanya aue na baadae guilty ikamshambulia na majuto ndio maana akaona ajiue na yeye.

Ukiwa na hasira ni bora uondoke uende mbali kwanza au upate mtu wa kumsimulia kwanza.
Mwanaume ukishagongewa na ukathibithisha mke wako amegegedwa haina haja ya kumsimulia mtu ila ni kuchukua maamuzi maana ukisimulia mkewako ametom*wa halafu huchukui maamuzi yoyote ni kama umemvua nguo mkeo hadharani halafu unaendelea kuishi nae. Ukishagongewa ukajua Ni either ukae kimya au useme na kuchukua maamuzi
 
Wanaacha watoto wanateseka, kisa kuendekeza upuuzi wa kuuana.

Kwani mke/mume mmezaliwa mmeungana kwamba hamuwezi kutenganishwa?

Ifike sehemu tutambua kama ambavyo uhai una mwisho basi na mapenzi yana mwisho, yakifika mwisho kwa namna yeyote tukubaliane na hali halisi na kuendelea na maisha mengine.
Tatizo lipo katika kauli! Mwanaume akiwa mnyonge kwa mkewe kama huyo jamaa lazima kuuana kutokee
 
Ukisikiliza clip za sauti alizorekodi huyo Jerome Dah aseeeh-jamaa Hana hasira za papo kwa papo..... They were (especially him) passing through the hell.

Inasikitisha
Sorry nami naomba nitumie hizo voice notes
 
Lazima watu tujifunze ku control hasira za papo hapo. Huyu itakuwa hasira zilifanya aue na baadae guilty ikamshambulia na majuto ndio maana akaona ajiue na yeye.

Ukiwa na hasira ni bora uondoke uende mbali kwanza au upate mtu wa kumsimulia kwanza.
Umesikia audio ya marehemu akielezea kilichotokea masaa machache kabla hajajimaliza na yeye.
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa,

Hivi umesoma hichi juu ulichokiandika [emoji115]

Mnaandika habari haraka haraka mnakimbizwa na nini
Shida ipo wapi mbona maneno yanasomeka vizuri?!
 
Wewe ndio hujaelewa,hao ni wakazi wa Tanga,Shule zimefunga wakasafiri kwenda huko Rukwa na kufikia Gesti kisha Mwalimu Mwanaume akamuua mkewe kisha akakimbilia Katavi nae akajitundika,sioni kosa hapo
Usingehangaika kumuelekeza. Mtu kila kitu kipo wazi yeye anakuuliza maswali ya kipopoma
 
Swali la msingi Sana,mim nahisi ni philosophy kuhusu mapenzi ni tofauti kwa pwani na balaa,niliwahi kuish mtwara kula watu wanagongeana na maisha yanaendelea
Pia Lindi - Liwale- watu wa kule hawana habari na mapenzi, Kuna makabira yako siriazi sana na mapenzi, kuishi Lindi kumenifanya kutiyachukulia siriazi haya mapenzi.
 
Jamaa aliyejulikana kwa jina la Jerome,amemuua mke wake aliyekua anajulikana kwa jina la Lucy na kisha kujiua.Jamani kama huwezi kuachana na ex wako,usiolewe,na kama ukiolewa,achana na ex wako.
Ukiwa haujaujua ukweli unaweza sema wanaume ni makatili na waonevu. Kumbe Dah kuna mambo hawa watu huwa wanafanya hadi unatamani ungemsaidia jamaa wakati wa kunyonga......
 
Back
Top Bottom