scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
bado ana hanghoverWewe ndio hujaelewa,hao ni wakazi wa Tanga,Shule zimefunga wakasafiri kwenda huko Rukwa na kufikia Gesti kisha Mwalimu Mwanaume akamuua mkewe kisha akakimbilia Katavi nae akajitundika,sioni kosa hapo