Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Mbwembwe zote za Chongolo zilisha zenyewe baada ya wananchi kumletea maji machafu wanayoyatumia , hata baada ya zaidi ya miaka 60 tangu nchi hii kupata Uhuru.
---
Mwamko wa wananchi kujitambua unazidi kushika kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamko huo ni zawadi anayotoa Mwenyezi Mungu akitaka kubadilisha mambo yanavyoenda. Ila waswahili wenzangu wa Kivule wanasema anayelala usimuamshe...ukimamsha utalala wewe.
Watu wameanza kuamka na wanaamka kwa kasi ya ajabu