Mbwembwe zote za Chongolo zilisha zenyewe baada ya wananchi kumletea maji machafu wanayoyatumia , hata baada ya zaidi ya miaka 60 tangu nchi hii kupata Uhuru.
---
Mwamko wa wananchi kujitambua unazidi kushika kasi
Mwamko huo ni zawadi anayotoa Mwenyezi Mungu akitaka kubadilisha mambo yanavyoenda. Ila waswahili wenzangu wa Kivule wanasema anayelala usimuamshe...ukimamsha utalala wewe.
Watu wameanza kuamka na wanaamka kwa kasi ya ajabu
Tangu umefungua macho ni jembe na nyundo hatudhalilika huko nyuma ije iwe leo,ni dalili viongozi wa chama ni wasikivu na demokrasia na uhuru wa kujieleza umekuwa mkubwa!