Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.

Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.

Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.

View attachment 1835035
 
Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero...
Binafsi sion kama kuna ukweli hapo, ni bora hata ungesema hata premio angalau.

Poa toyota Ist bado zinanunuliwa kwa wingi hadi sasa kuliko hyo Rumio, ukifanya utafiti vizuri utakubaliana na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Premio na ist ni vitu viwili tofauti hasa kwenye fuel consumption
 
Mwakani MUNGU akipenda nitauza hiyo gari najua ndiyo gari inayopendwa TANZANIA hivyo haitanisumbua Kwenye kuuza...

Faida ya Toyota ndiyo hiyo ingawa baadhi ya watu wanatuponda kununua rumion Ila kwa wajanja WA mjini hii ni gari ya biashara haina shida Kwenye kuuza
 
Mwakani MUNGU akipenda nitauza hiyo gari najua ndiyo gari inayopendwa TANZANIA hivyo haitanisumbua Kwenye kuuza...
faida ya Toyota ndiyo hiyo ingawa baadhi ya watu wanatuponda kununua rumion Ila kwa wajanja WA mjini hii ni gari ya biashara haina shida Kwenye kuuza

Kwa toyota hili husumbuki kabisa ukiichoka unailengesha
 
Mwakani MUNGU akipenda nitauza hiyo gari najua ndiyo gari inayopendwa TANZANIA hivyo haitanisumbua Kwenye kuuza...
faida ya Toyota ndiyo hiyo ingawa baadhi ya watu wanatuponda kununua rumion Ila kwa wajanja WA mjini hii ni gari ya biashara haina shida Kwenye kuuza
Tunasema ukweli tu hio Rumion itapita, kama bado haijapita ila IST bado haijapata mrithi maanake hata Ka new model kake hapa bongo kamefeli.
 
Back
Top Bottom