Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

IST haina style ya aina yoyote ile sio mpenzi wa rumion lakini Rumion iko more spacious kwa ndani na ni comfortable hata ukiwa ukiwa unaendesha kitu ambacho IST haina, IST ni small compact car
Space ingekuwa y maana sn bac hata spacio, rumion, raum, succed etc zingetingisha soko la ist bt still n gari pendwa hapa tz..

5 years back to back still top on sell kwa hapa tz… stylish, fuel consumption, durability… 🥳🤝
 
Back
Top Bottom