Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.

Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.

Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.



Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.


View attachment 1835035
Unachekesha
 
Back
Top Bottom