Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Niliiuza ya kwangu lakini wanaopiga makelele wengi hawaielewi.
Kwanza huwazi kufunga mziki, wenyewe tu ni tosha.
Pili huwazi mafuta ni cc 1400,
Tatu huwazi issue za kwenda mbio sijui, yaani unaenda nao sahani moja na imetulia.
Kipindi nilipokuwaga nayo naona kabisa wenye gari kubwa wanavyoshangaa nnavyowakata.let me share vipicha vya ndani.
Space wameitendea haki kuliko hata rav 4ya 2010.
Yaani rav 4 haina spare trye, rumion inayo.
Shida ni dash board ya digital inawafanya kila mtu kupiga kelele kuwa upo mwendo mkali.wangeificha kidogo.
Sababu ya kuachana nayo ni hobies ya kubadili gari kila nipatapo fursa.
 
Mimi Nina mpango wa kubadilisha nichukue rumion yenye CC 1800 ingawa bado naipenda hii G series yenye CC 1450. Naipenda rumion kwenye kutunisha misuli na akina kluger na harrier
 
Niliiuza ya kwangu lakini wanaopiga makelele wengi hawaielewi.
Kwanza huwazi kufunga mziki, wenyewe tu ni tosha.
Pili huwazi mafuta ni cc 1400,
Tatu huwazi issue za kwenda mbio sijui, yaani unaenda nao sahani moja na imetulia.
Kipindi nilipokuwaga nayo naona kabisa wenye gari kubwa wanavyoshangaa nnavyowakata.let me share vipicha vya ndani.
Space wameitendea haki kuliko hata rav 4ya 2010.
Yaani rav 4 haina spare trye, rumion inayo.
Shida ni dash board ya digital inawafanya kila mtu kupiga kelele kuwa upo mwendo mkali.wangeificha kidogo.
Sababu ya kuachana nayo ni hobies ya kubadili gari kila nipatapo fursa.
Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?
 
Enzi zangu za ujana nilikuwa siziovateki SUV, bali ninaunga 'tela' nyuma kwa umbali ulio salama...

Lets say nilikuwa natembea 110Kph ikaja SUV ikanipita, basi naongeza mafuta ili niwe nyuma yake.

Hapo nipo na Corona Liftback, basi tutaenda mwendo sawa, 110 hadi 120, 140, 160, 180 baadhi ya sehemu.

Kuna raha yake ku - tail kwenye gari yenye nguvu lakini kwa kuzingatia umbali salama.

Siku hizi sifanyi tena, majukumu lukuki na uzee.

#Mwendokasi ni hatari, tusikimbie kimbie hovyo hovyo.
 
Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?
Hizo ndo tabia zinazoleta ajali za kijinga, kulazimisha mambo ya mbio mbio. Sijui ni nn huwafanya kuamini kuwa wapo kwenye mashindano. Nadhani ni kutojiamini, anakuwa anahitaji kuprove kuwa ana gari kali while in reality most don't care. Mtu na ka ist MUNGU kamfikisha salama kutoka mkoani utamsikia " Nimevimba na LC V8 na Range nikawakalisha"
 
Hahahaha 🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?
Alafu ameweka tairi za mchina!
 
Back
Top Bottom