Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hii LX ndio imekuwa gari ya mizunguko tenaš acha kutuinjoyView attachment 1829807
Ist ni gari moja tamu sana kwa mizunguko ya town ipo vzr sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii LX ndio imekuwa gari ya mizunguko tenaš acha kutuinjoyView attachment 1829807
Ist ni gari moja tamu sana kwa mizunguko ya town ipo vzr sana
opa au will vsHii gari wangeifanya fully digital dashboard kama ilivyo Opa ingenoga sana
Will Vs sijaona dashboard yakeopa au will vs
Kwa gari ndogo rumion ni gari nzuri kuliko zote coz imekaa kiume and body yake ni kama honda cross road
Mimi Nina mpango wa kubadilisha nichukue rumion yenye CC 1800 ingawa bado naipenda hii G series yenye CC 1450. Naipenda rumion kwenye kutunisha misuli na akina kluger na harrierNiliiuza ya kwangu lakini wanaopiga makelele wengi hawaielewi.
Kwanza huwazi kufunga mziki, wenyewe tu ni tosha.
Pili huwazi mafuta ni cc 1400,
Tatu huwazi issue za kwenda mbio sijui, yaani unaenda nao sahani moja na imetulia.
Kipindi nilipokuwaga nayo naona kabisa wenye gari kubwa wanavyoshangaa nnavyowakata.let me share vipicha vya ndani.
Space wameitendea haki kuliko hata rav 4ya 2010.
Yaani rav 4 haina spare trye, rumion inayo.
Shida ni dash board ya digital inawafanya kila mtu kupiga kelele kuwa upo mwendo mkali.wangeificha kidogo.
Sababu ya kuachana nayo ni hobies ya kubadili gari kila nipatapo fursa.
Rumion ni moto inatembea huyo Ist hawezi kumuona alipopitiaMkuu Acha kabisa kufananisha IST na vitu vya ajabu!
*****[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rumion imekaa kiume?? Gari inarembua inaonekana kabisa watu wanaaita njiwa maringo[emoji28]. Unazingua chief
Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?Niliiuza ya kwangu lakini wanaopiga makelele wengi hawaielewi.
Kwanza huwazi kufunga mziki, wenyewe tu ni tosha.
Pili huwazi mafuta ni cc 1400,
Tatu huwazi issue za kwenda mbio sijui, yaani unaenda nao sahani moja na imetulia.
Kipindi nilipokuwaga nayo naona kabisa wenye gari kubwa wanavyoshangaa nnavyowakata.let me share vipicha vya ndani.
Space wameitendea haki kuliko hata rav 4ya 2010.
Yaani rav 4 haina spare trye, rumion inayo.
Shida ni dash board ya digital inawafanya kila mtu kupiga kelele kuwa upo mwendo mkali.wangeificha kidogo.
Sababu ya kuachana nayo ni hobies ya kubadili gari kila nipatapo fursa.
Enzi zangu za ujana nilikuwa siziovateki SUV, bali ninaunga 'tela' nyuma kwa umbali ulio salama...Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?
Hizo ndo tabia zinazoleta ajali za kijinga, kulazimisha mambo ya mbio mbio. Sijui ni nn huwafanya kuamini kuwa wapo kwenye mashindano. Nadhani ni kutojiamini, anakuwa anahitaji kuprove kuwa ana gari kali while in reality most don't care. Mtu na ka ist MUNGU kamfikisha salama kutoka mkoani utamsikia " Nimevimba na LC V8 na Range nikawakalisha"Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?
Mkuu ukitaka kuiuza nipm mwenyew naihitaji yenye Cc hizoMimi Nina mpango wa kubadilisha nichukue rumion yenye CC 1800 ingawa bado naipenda hii G series yenye CC 1450. Naipenda rumion kwenye kutunisha misuli na akina kluger na harrier
Haina shida mkuuMkuu ukitaka kuiuza nipm mwenyew naihitaji yenye Cc hizo
Nyie nyie nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rumion ni moto inatembea huyo Ist hawezi kumuona alipopitia
Hahahaha š¤£š¤£š¤£Hizo ndo tabia zinazoleta ajali za kijinga, kulazimisha mambo ya mbio mbio. Sijui ni nn huwafanya kuamini kuwa wapo kwenye mashindano. Nadhani ni kutojiamini, anakuwa anahitaji kuprove kuwa ana gari kali while in reality most don't care. Mtu na ka ist MUNGU kamfikisha salama kutoka mkoani utamsikia " Nimevimba na LC V8 na Range nikawakalisha"
Alafu ameweka tairi za mchina!Hii ishu ya kumpita mtu asio na taarifa kama mnashindana huwa sielewi, yaani unamkuta mtu na safari zake kakuacha upite wewe tayari nimempita yaani 1400cc ishinfane na dude V8 cc 4000+ tena kwenye mlima kweli?