Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
IST haina style ya aina yoyote ile sio mpenzi wa rumion lakini Rumion iko more spacious kwa ndani na ni comfortable hata ukiwa ukiwa unaendesha kitu ambacho IST haina, IST ni small compact carKama utalinganisha body ya Rumion na IST, basi utaipenda IST. IST iko more stylish. Kwa ule muonekano wa Rumion, hapana kabisa, yaani utadhani mdudu, kiatu, kibox. Yaani Rumion ina muonekano fulani mbovu sana.