Rumion ni aina ya gari inayoenda kuchukua nafasi ya IST kwa sasa

Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.

Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.

Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.
Na hivi ndio mama Samia kawapandisha mishahara watumishi wa umma,ndio zitajaa kitaa balaa
 
Kabla ya IST kulikuwa na Starlet GT ikaja Glanza ila kwa mrithi wa IST kuwa Rumion naona bado!
BeautyPlus_20210618203109876_save.jpg

Kama hii mkuu!
Hiki kigari nakipenda kuliko madeni yangu.
 
Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.

Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.

Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.
Ndio picha yake hii ya RUMION uliyoweka hapa mkuu?. Kama ni hii hii iko bomba mbayaaaaaaa
 
Mhh, haka kagar nilikakuta yard sku1..ni kakubwa ndan..na bei imechangamka kweli...ila sikapendi..kana umbo kama kitimoto..au kichwa cha mtoto bonge mwenye mashava kubwa...u know magari yanasura za watu eeh ..hahahah.jokn
 
Habari.

Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.

Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.

Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.

Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu.

Rumion hizi hizi zenye umbo kama jeneza?
 
Back
Top Bottom