RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Pamoja na hayo haijakubalika sana. Watu walinunua wakati bei iko juu lakini sasa hivi wala sizioni sanaSio kwamba bei yake ya new model iko juu kidogo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hayo haijakubalika sana. Watu walinunua wakati bei iko juu lakini sasa hivi wala sizioni sanaSio kwamba bei yake ya new model iko juu kidogo ?
Kwa ule muonekano wake [emoji848] utanisamehe tu kweli
Pamoja na hayo haijakubalika sana. Watu walinunua wakati bei iko juu lakini sasa hivi wala sizioni sana
Ila itachuja haraka sana kuliko hata carinaHabari.
Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.
Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero.
Baada ya IST kuzagaa mjini kama mchanga, hatimaye mbadala wake amekuja kwa kasi nyingine ambazo ni hizi RUMION.
Ndani ya miezi michache tutaanza kuzisahau IST na RUMION ndio zitazungumzwa kama ilivyokuwa kipindi cha Vitz.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.
Gap kiasi gani?Kuna gap kubwa kati ya old model na new model lakin
Ila kimsingi mie IST new model ndio naipenda kuliko hata haka ka IST Uber!Pamoja na hayo haijakubalika sana. Watu walinunua wakati bei iko juu lakini sasa hivi wala sizioni sana
Gap kiasi gani?
Duh nilifikiri gap 6+mKama milion 3 au nne japo sina uhakika
New model sio nzuri. Haieleweki. Btw 3m Ku upgrade sio nyingi. Kama mtu wa IST kweli anaweza kumove huko.Ila kimsingi mie IST new model ndio naipenda kuliko hata haka ka IST Uber!
Bado najichangachanga ili angalau ifikapo december ya mwaka 2035 na mimi nimiliki ist yangu,inshaallah,Mungu ni mwema sana,naamini ataniwezesha kutimiza ndoto yangu.
Hujaiwekea Rim wewe 😅😅😅 tia spokes za 17” utaielewa freshiNew model sio nzuri. Haieleweki. Btw 3m Ku upgrade sio nyingi. Kama mtu wa IST kweli anaweza kumove huko.
Anazingua tu huyoMkuu uko ni mbali sana usikate tamaa kirahisi miaka 14 kutafuta ist mkuu wangu.
Duh nilifikiri gap 6+m
Mimi sio mpenzi nazungumzia tu uzuri wa IST kwangu ni gari Bora ndogo. Kwa baby walkers kibongobongo haina mpinzaniHujaiwekea Rim wewe 😅😅😅 tia spokes za 17” utaielewa freshi
True storyMimi sio mpenzi nazungumzia tu uzuri wa IST kwangu ni gari Bora ndogo. Kwa baby walkers kibongobongo haina mpinzani
Ile shape dah sijui watu wanaipendea niniShida ya Rumion body structure mbovu
Shape kama buti la mgambo.Ile shape dah sijui watu wanaipendea nn