Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Binafsi sion kama kuna ukweli hapo, ni bora hata ungesema hata premio angalau.Habari.
Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.
Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja huwa kwa wingi hadi inafika mahali inakuwa kero...
Hujamuelewa mleta madaBinafsi sion kama kuna ukweli hapo, ni bora hata ungesema hata premio angalau.
Poa toyota Ist bado zinanunuliwa kwa wingi hadi sasa kuliko hyo Rumio, ukifanya utafiti vizuri utakubaliana na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Premio na ist ni vitu viwili tofauti hasa kwenye fuel consumptionBinafsi sion kama kuna ukweli hapo, ni bora hata ungesema hata premio angalau.
Poa toyota Ist bado zinanunuliwa kwa wingi hadi sasa kuliko hyo Rumio, ukifanya utafiti vizuri utakubaliana na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado najichangachanga ili angalau ifikapo december ya mwaka 2035 na mimi nimiliki ist yangu, Inshaallah, Mungu ni mwema sana, naamini ataniwezesha kutimiza ndoto yangu.Mkuu Acha kabisa kufananisha IST na vitu vya ajabu!
Sijaelewa kipi hapoo, mimi nimekata rumio kuwa mbadala wa Ist kwa kuwa bado zinapendwa hadi sasa kuliko hiyo RumioHujamuelewa mleta mada
Kuna Ist yenye 1nz fe na Premio yenye 1nz fe sasa sijui unamanisha nini, usikariri, au unafikir Ist zote zina 2nz fe?Mkuu Premio na ist ni vitu viwili tofauti hasa kwenye fuel consumption
Usisahau kuna spacio new model, ziko nazo kibaoHabari.
Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.
...
Mkuu kafanye utafiti tena..Habari.
Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo...
Rumion ipo chini ukilinganisha na IST na hapo ndipo ilipofeli.
IST itabaki juu kileleniiiii.
Mwakani MUNGU akipenda nitauza hiyo gari najua ndiyo gari inayopendwa TANZANIA hivyo haitanisumbua Kwenye kuuza...
faida ya Toyota ndiyo hiyo ingawa baadhi ya watu wanatuponda kununua rumion Ila kwa wajanja WA mjini hii ni gari ya biashara haina shida Kwenye kuuza
Tunasema ukweli tu hio Rumion itapita, kama bado haijapita ila IST bado haijapata mrithi maanake hata Ka new model kake hapa bongo kamefeli.Mwakani MUNGU akipenda nitauza hiyo gari najua ndiyo gari inayopendwa TANZANIA hivyo haitanisumbua Kwenye kuuza...
faida ya Toyota ndiyo hiyo ingawa baadhi ya watu wanatuponda kununua rumion Ila kwa wajanja WA mjini hii ni gari ya biashara haina shida Kwenye kuuza
Tunasema ukweli tu hio Rumion itapita,kama bado haijapita ila IST bado haijapata mrithi maanake hata Ka new model kake hapa bongo kamefeli.