Rummy aitingisha DSM

Rummy aitingisha DSM

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
¤Ni Mchumba wa kajala
¤Anunua Mtaa
Na mwandishi wetu.
Mtanzania mwenye utajiri wa ajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha polisi na kujenga upya.
~Rummy enzi hzo alikuwa dereva wa daladala baada ya kupata mchongo aliingia zake italy kufanya biashara na hatimaye mambo yakawa safi na kurudi tanzania.
~Rummy ndio aliyemtolea dhamana ya mil.13 mchumba wake kajala.
 
sasa huyu kajala mbona anarudi kule kule? Wadada msipende hayo maisha.
 
Wauza sembe ndio habari ya mjini..

Kuna mtu alinipita na AUDI Q-7 mpyaaaaa hadi nikaogopa.. Nikapiga hesabu za haraka haraka nikakuta vi corolla kama changu vinaingia kama 30 hivi kufikia bei ya hiyo gari moja...

Wauza sembe wapo wengi sana Dar es salaam. Na ndio wanasumbua sana dada zetu
 
yap mkuu wazungu town wapo wengi sana hata wema naye ana push Q7.
 
Mambo ya kimjinimjini

"Nchi ngumu hii"
 
Back
Top Bottom