Diamond anavyopenda sifa baba paroko hashindwi
Kupiga kampeni+kuvalishwa makofia wakajiona wako safe naona sahv aatakuwa anampigia simNimefurah coz domo anajifanyaga untouchable, huu uzi leo utafikisha 100k views na comments 500k[emoji23][emoji23]
Wanawaacha wasani kama ruby,mwasiti,mauasama wao kutwa wako na giggy sjui mashaloveVijana wanaenda mtaani miezi 6 ujue? Halafu kwa nini wasimkamate na hiyo Gigi mapesa??
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Hii habari nzuri kwa kilauziTCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu.
Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza ‘utupu’ kinyume na Kanuni katika tamasha la “Tumewasha Live Concert” lililorushwa Januari Mosi 2021 kuanzia saa mbili hadi saa tano usiku.
Aidha Wasafi Tv wanatakiwa kutumia siku ya leo kuomba radhi kwa watazamaji wake kufuatia ukiukaji huo na wakikaidi hatua zaidi za kisheria na udhibiti zitachukuliwa.
Pia soma > Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?
Mbona picha na vazi la kisanii hilo? Alichofanya ni kuongeza urembo maeneo nyeti. Kawaida hiyo kisanii. Mimi nilisikia uchi nilifikiri aliingia bila nguo kabisa. Kumbe kaingia na artist attire. Kibongobongo tunaita uchi.
Yaan anayelipaga ajra hii umbwa ndo Ana kichwa mnato, cjapenda media kufungwa ila wamteme huyu demu awe anafanya huo ujnga wake kweny platforms nyngne abrand mwl wake. Ila waspoelewa bas tena gift hana akiliMiezi sita duuh..TCRA wakumbuke pia watu wamewekeza
Na hizi media ziache kukumbatia wahuni wahuni na malaya..
Yaani wangeifuta kwenye USO wa Tanzania!!!Haiwezekani Warushe Mwanadada anacheza Uchi wa Mnyama hadharani halafu waendelee kuwepo. Hii ni Tz siyo Ulaya, America na South Africa wanakouza Night Clubs au nude Clubs wanaachiwa. Kwanza huko ni Ndani ya Club siyo hadharani kama walivyomrusha Gift Stanford. Vijana wawe na heshima au Staha siyo kutafuta Ummaarufu Kwa njia za Aibu kudhalilisha Wanawake. Mbona Wanaume hawakucheza wakionesha Dhakari zilivyo. Big Up Sana TCRA bado Wizara ya Michezo,Basata, Tamwa, tawla na UWT. Tunasubiri tamko lenu.Hao TCRA itabidi wapunguziwe mamlaka, itakuwa wanatumika tu na washindani wa kibiashara wa watu.
Miezi sita as if wametangaza kupindua serikali.
Hizo ni ajira za watu na ni uwekezaji pia lazima adhabu zizingatie na hayo.
Sheria ni msumeno. Huwezi kuacha kuchukua hatua kisa kuna watu wanategemea hapoHapana. Miez sita n mingi Sana Kuna wengi wata umia Sana hasa wanao tegemea ajira kutokea hapoView attachment 1668924View attachment 1668925
Hashindwi kabisa akimuaMwenzangu hilo nalo , domo hakubal kushindwa yule
Hivi jamii ya sasa ina maadili kweli?Acha tu yapotee tu mkuu ,kuliko tupoyeze maadili yetu kijamii. Hiyo Kodi ya miez6 atatujazia Baba lao
Mitano tena au milele kabisa.......Mbona picha na vazi la kisanii hilo? Alichofanya ni kuongeza urembo maeneo nyeti. Kawaida hiyo kisanii. Mimi nilisikia uchi nilifikiri aliingia bila nguo kabisa. Kumbe kaingia na artist attire. Kibongobongo tunaita uchi.