RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Nimefurah coz domo anajifanyaga untouchable, huu uzi leo utafikisha 100k views na comments 500k[emoji23][emoji23]
Binamu we kwenye tamasha hakuwepo kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie ngoja niburudishe wananchi wa JF na songi la wasafi linaloitwa "Magufuli baba lao"!
 
Hivi hawa tisiaraei hawaonagi vifurushi vya mitandao kila siku wao na tv tu..[emoji28]
Amini!!!

Kifurushi hakina thamani kama mwanao kuonyeshwa tabia mbovu za kipumbavu kutoka kwa mijianaake iliyokoswa kulelewa vyema na mama zao,wawafungie hata maisha kama wanatoka nje ya maadili ya taifa letu hakuna kuoneana huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha huhuhuhu hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Magufuli BABALAO.

Teh teh teh

Mitano Tena [emoji1787][emoji1787]
hahahahaaahaha na jamaa alitamba mbele ya Magu wakati wa kampen kuwa Magu kawafanya wasanii kumiliki hadi vituo vya Luninga akijimaanisha yeye
 
Back
Top Bottom