Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni kosa la Wasafi tv hapo labda wangewasiliana na BASATA wakamfungia Giggy MoneyTukio nililiona na nlikuwa na watu wengine wakubwa kwa wadogo nkajua tu spana lazima ifuate tena ya nguvu
Police Revenue AuthorityNa Target kubwa ya hizo regulatory authorities siku hizi imekuwa ni kukusanya pesa, siyo kuboresha ay kusimamia huduma. Ni mwendo wa kuviziana tu, ukosee uliwe.
Nchi hii ndio maana watu wanakwepa kodi maana issue siyo kodi tu.
Siku hizi kila kitaasisi kinakusanya pesa.
1. TCRA
2. TARURA
3. NEMC .
4. TMDA
5. Serikali za mitaa
6. TRA
7. TCCIA ( Hawa wanachukupesa za Kurusha drone 🤓🤓
8. Halmashauri
9. TBS
Na CCM hawajakufuata kutembeza bakuli la shughuli za chama na michango ya mwenge
Ndo ukweli wanaujua sahiv.. walidhani dozi ni kwa wapinzani tuUzuri round hii dozi kila mtu inampata
Sawa sawa ila wale upande mwingine walidhazoea hawa kijani sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nashukuru.Hata ukijua haikusaidii mkuu
yupo amebadili ID atakua anaugulia maumivu.Vipi hii taarifa imeshamfikia jamaa yako Innocent?
Inabidi wakati wa kumfikishia hii habari kuwe na watu karibu wa kumchunga asijidhuru.
Kosa la wasafi hapo ni kurusha hilo tukio live, wangeweza kukatisha matangazo wakati huyo mcheza uchi akiwa jukwaani hadi amalize kisha wangeendelea ili kulinda maadili...lakini pamoja na hayo hilo ni kosa la kuomba radhi na kulipa faini tu sio hii adhabu ya miezi sita ni kubwa sana yaani ni sawa na kumuua inzi kwa kutumia nyundo...TCRA wametumia nguvu kupita kiasi hapa.....labda vinginevyo iwe wasafi waliambiwa kuomba radhi wakakaidi...!Sioni kosa la Wasafi tv hapo labda wangewasiliana na BASATA wakamfungia Giggy Money
Maana Wasafi Tv wenyewe wana haki ya kurusha matangazo sio waendeshaji/wamiliki wa tamasha.
Giggy kafanyia kosa kituo gani? Labda Basata nao watampa adhabu kama msaniiSioni kosa la Wasafi tv hapo labda wangewasiliana na BASATA wakamfungia Giggy Money
Maana Wasafi Tv wenyewe wana haki ya kurusha matangazo sio waendeshaji/wamiliki wa tamasha.
yupo amebadili ID atakua anaugulia maumivu.
Maulid ni radio siyo TV.Au vyote vina leseni moja ?Hii ban itamhusu na Maulid Kitenge na vile vipindi vyake vya ki sports sport? ……..
Tena ilitakiwa mkurugenzi wa TCRA akatembeze viboko hapo kwenye ofisi yao.Piga kelele kwa tcra akeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajakaidi inabidi waombe radhi kuanzia leo upumbavu wameshafungiwa siku zote halafu eti waombe radhiKosa la wasafi hapo ni kurusha hilo tukio live, wangeweza kukatisha matangazo wakati huyo mcheza uchi akiwa jukwaani hadi amalize kisha wangeendelea ili kulinda maadili...lakini pamoja na hayo hilo ni kosa la kuomba radhi na kulipa faini tu sio hii adhabu ya miezi sita ni kubwa sana yaani ni sawa na kumuua inzi kwa kutumia nyundo...TCRA wametumia nguvu kupita kiasi hapa.....labda vinginevyo iwe wasafi waliambiwa kuomba radhi wakakaidi...!
maneno ni mawili tu, "KA-TA"Kama maudhui yaliruka moja kwa moja (LIVE) sioni kosa maana yanaruka moja kwa moja hadi kwa watazamaji bila kuhaririwa.
Ila kama ni recorded ndiyo yakarushwa basi wanastahili adhabu maana ni lazima kuhariri maudhui kabla ya kuyarusha.
Anapaswa kufungiwa Gigy Money kutofanya shughuli za sanaa na BASATA.
Hizi taasisi ni kama zinaingiliana kazi.
Ilikuwa liveKama maudhui yaliruka moja kwa moja (LIVE) sioni kosa maana yanaruka moja kwa moja hadi kwa watazamaji bila kuhaririwa.
Ila kama ni recorded ndiyo yakarushwa basi wanastahili adhabu maana ni lazima kuhariri maudhui kabla ya kuyarusha.
Anapaswa kufungiwa Gigy Money kutofanya shughuli za sanaa na BASATA.
Hizi taasisi ni kama zinaingiliana kazi.
Picha zipo nyingi ila jf na rungu la tcra.Giggy kafanya nini ? leteni na picha wakuu
Tena ilitakiwa mkurugenzi wa TCRA akatembeze viboko hapo kwenye ofisi yao.