Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kujifunza sio lazima iwe adhabu, ata kueleweshwa pia ni mbinu provided its the first offence.Ndo next time waajiri watu wenye professional zao tu na sio kubebana hovyo, wasafi imejaa watangazaji na watu ambao hawako proficient na kazi zao
Mi naona hiyo Adhabu ni Sawa tu ndo next time wajifunze
Mtoa adhabu atakuwa kagongewa pisi yake kali na mtoto wa Tandale,ndio maana alikuwa anamtafuta aingie kwenye target,kakoseaHii adhabu kama hainaa Dhamira ya Kisiasa ndani yakee bhasi wamekosea sana aisee... Hii sio haki
Kwa jeuri wasafi wanaenda kwenye party nyingine kwa hiyo miezi sita kama ile iliyopita.
#mchezousiuchezeeeee
Jamaa wanaamua kukomoa tu! !Hii adhabu kama hainaa Dhamira ya Kisiasa ndani yakee bhasi wamekosea sana aisee... Hii sio haki
Afu tunalizika...!!Litakufa Jitu!
Sijasema awajakosea au hawastahili sanctions ila miezi sita ni mingi sana...
Hawa hizi adhabu za kiboya, hiyo TV imeajiri watu wangapi. Walau wangewapiga faini ya pesa ndefuTCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu...
siku zote ni watu wachache ndio huponza wengi.Hao TCRA itabidi wapunguziwe mamlaka, itakuwa wanatumika tu na washindani wa kibiashara wa watu.
Miezi sita as if wametangaza kupindua serikali.
Hizo ni ajira za watu na ni uwekezaji pia lazima adhabu zizingatie na hayo.
Gift Stanford maarufu kama Gigy Money
It’s live TV producers hawana control na surprises ambazo azijapangwa, only experienced individuals kwenye kazi ndio wanajua kuokoa situation kama hizo.Wewe ndugu siujui umri wako ila tambua hakuna gharama kubwa kama kulinda maadili ya kizazi hasa wakati huu tuliopo ambao baba kuangalia Tv na watoto ni jambo la kawaida kabisa na watoto wenyewe siku hizi wanachagua kabisa station za kuangalia sasa tu-assume ndo wewe baba upo na wanao aged 11/13 sitting room mnaangalia Tv kisha mara anapita jiji mane anakatiza uchi kwenye kioo wewe kama baba utajificha wapi?maana siyo unatetea tu jua na hasara zake!