RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Ndo next time waajiri watu wenye professional zao tu na sio kubebana hovyo, wasafi imejaa watangazaji na watu ambao hawako proficient na kazi zao

Mi naona hiyo Adhabu ni Sawa tu ndo next time wajifunze
Kujifunza sio lazima iwe adhabu, ata kueleweshwa pia ni mbinu provided its the first offence.
 
Kipindi kile ilikua ni radio..wkapata nafasi ku yake over kwa TV
Kwa sasa ni Tv
Wamwe makini tu na content zao
Japo adhabu ni kubwa
Ipungue hata 2months
Kwa jeuri wasafi wanaenda kwenye party nyingine kwa hiyo miezi sita kama ile iliyopita.
#mchezousiuchezeeeee
 
Hakuna option ya kulipa fine? au siku hizi ni mwendo wa kutafuta kiki...
 
Sijasema awajakosea au hawastahili sanctions ila miezi sita ni mingi sana...

Wewe ndugu siujui umri wako ila tambua hakuna gharama kubwa kama kulinda maadili ya kizazi hasa wakati huu tuliopo ambao baba kuangalia Tv na watoto ni jambo la kawaida kabisa na watoto wenyewe siku hizi wanachagua kabisa station za kuangalia sasa tu-assume ndo wewe baba upo na wanao aged 11/13 sitting room mnaangalia Tv kisha mara anapita jiji mane anakatiza uchi kwenye kioo wewe kama baba utajificha wapi?maana siyo unatetea tu jua na hasara zake!!!

Wala siyo bado amateurs hata huyo boss wao anaimba imba matusi tu ni tabia zao wote huyo kijana ana nyimbo ikipigwa ghafla umekaa na mtu unayemuheshimu lazima utamani kuzima chombo hayo mashairi yake hayasikiliziki kwenye masikio ya wenye busara.

Nasema tena hiyo adhabu wamepewa ndogo inafaa ikaongezwa ili iwe fundisho kwao na kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu...
Hawa hizi adhabu za kiboya, hiyo TV imeajiri watu wangapi. Walau wangewapiga faini ya pesa ndefu
 
Technology imekua bana mi sijaona kitu cha ajabu pale...hiyo itakua chuki tu..lkn diamond nae akome alitudharau sana kipindi cha uchaguzi
 
Hao TCRA itabidi wapunguziwe mamlaka, itakuwa wanatumika tu na washindani wa kibiashara wa watu.

Miezi sita as if wametangaza kupindua serikali.

Hizo ni ajira za watu na ni uwekezaji pia lazima adhabu zizingatie na hayo.
siku zote ni watu wachache ndio huponza wengi.
watangazaji wachache wanaotukana kweny vymbo vya habari, na wachache wanaorusha show za uchi uchi ndo huwaponza wanaotafuta ugali wao kihalali
 
Duuuh miezi sita ndio kusema mtoto akizaliwa leo anyonye maziwa ya mama pekee ....kikiisha hicho kipndi ndio niwaoone wasafi hewan. Haki ya mungu
 
Wewe ndugu siujui umri wako ila tambua hakuna gharama kubwa kama kulinda maadili ya kizazi hasa wakati huu tuliopo ambao baba kuangalia Tv na watoto ni jambo la kawaida kabisa na watoto wenyewe siku hizi wanachagua kabisa station za kuangalia sasa tu-assume ndo wewe baba upo na wanao aged 11/13 sitting room mnaangalia Tv kisha mara anapita jiji mane anakatiza uchi kwenye kioo wewe kama baba utajificha wapi?maana siyo unatetea tu jua na hasara zake!
It’s live TV producers hawana control na surprises ambazo azijapangwa, only experienced individuals kwenye kazi ndio wanajua kuokoa situation kama hizo.

Ata kwenye mikutano ya raisi wale wananchi wanaotaka kuvuka ulinzi kwa lazima wakaonane nae wakianza kula makofi ya walinzi wake uoni, kwa sababu producers wa TBC ni experienced wa kubadili camera haraka si ajabu kuna time delay. Lengo ni kuonyesha mkutano ulikuwa smooth mwanzo mwisho.

Mara nyingi utajua kuna sokomoko pale raisi atakaposema nyie ebu mwacheni huyo au siku zingine akisema mtoeni wala simuonei huruma si angesubiri nimalize; bila ya yeye kuongea kama unaangalia mkutano kwenye luninga uwezi jua.

Raisi akiamua aachwe tena usalama wakishaacha kumchapa vibao ndio camera zitamuonyesha huyo mtu.

Tatizo la wasafi media ni experience awajafikia ubobezi huo wa kazi wanatakiwa walelewe sio kuadhibiwa bado wachanga makosa ya hapa na pale yatakuwepo tu wanahitaji mwongozo sio kuwaumiza.

Utakuta sasa hivi wana contract za matangazo ya millions halafu wewe unawaumiza kwa makosa ambayo wangeweza lipa fines tu na kupewa elimu.

The whole thing is absurd.
 
Back
Top Bottom