RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Huu ndio utupu?...hawa jamaa hawapo serious......nani kawaambia utupu upo hivi...
Aisee...
Mkuu nakuunga mkono. Wanatakiwa waweze kutofautisha artist attire na utupu. Ile ilikuwa ni creativiry ya hali ya juu kimavazi ya kisanii. Alichokifanya ni kurembesha maeneo nyeti ambayo kisanii jicho ndiko lingeingia hapo pia ndiko viewrs na followers na likes mitandaoni ili kukuza brand yake. Aisee bado tuna safari ndefu sana. Miezi 6 kufungiwa? Kwa uchumi upi huo? Walioajiriwa hapo mapato kibao na kampuni ya wasafi media pia tunapoteza mapato. Kama haina maadili kikwao Tisiaraei basi wawapige tu spana siku 3 au 5 inatosha. CCM hoyeee.
 
Walichagua upande wa shetani na wakakubali kutumika kama toilet paper wakifikiri ya kuwa shetani huwa ana rafiki![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Wangemshabikia Lisu wangeachwa tu eti ee?
 
Maamuzi mengine ya kijinga sana sasa wanategemea kizazi cha 60's na cha sasa hivi waishi sawa?unafungia media miezi sita alafu hao wafanyakazi unataka wadange ndio wendeshe maisha?kuna watu wangapi wanaendesha maisha kwa kutegemea hicho kituo cha televevision?Serikali itakuwa imepoteza mapato kiasi gani?
Hiii nchi ya kijima sana alafu tukitoka hapa tuanza kuita mabeberu hawapendi maendeleo yetu wakati sisis wenyewe tunarudishana nyuma.
 
Hawa wanafanya hivi kwa sababu wana uhakika wa kupokea mshahara wa Magufuli.
Nikuhakikishie nje ya mshahara hawa jamaa hawana ujanja wowote.
Adhabu ya miezi sita kwa kitu kama hiki ni ujinga uliokubuhu.
 
Na bado wanaonesha nyimbo za nje zenye wanawake wanaokaa uchi zaidi yake kwenye channel karibia zote na hawajawahi piga kelele. kwa kweli I second you sijaona utupu hapo waache uzamani wao dunia imeshabadilika
 
Ukilegeza ushoga utaongezekaaa
Usagaji utaongezeeka

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…