RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

Ni jambo la kupongezwa kwa mamlaka kwa hatua hiyo maana upuuzi wa namna hiyo ndiyo unaharibu maadili ya jamii, watoto na vijana huiga kwa hao wasanii ambao wameshachanganyikiwa. Hongereni TCRA sasa baada ya hiyo TV kushughulikiwa na TCRA, Basata nao wadeal na huyo muonyesha tupu kwa kumfungia naye ili huo utupu awaonyeshe nduguze
 
uwezo wa kufikiri umepungua sana miongoni mwa watanzania wengi
 
Kuvaa kiheshima as per tamaduni ni ujima!?
 
Inawezekana alikavua na hako kanguo ka kisanii akamwaga radhi hazarani....
 
Yule demu akili Hana.
Sijui kwanini wasafi usa wanambeba
 
😂😂😂😂😂😂😂
Kwanza li tv lenyewe halina hata maana walinyang'anye kabisa na leseni
 
Msema kweli ni mpenz wa Mungu na hili nalisema kwa dhati....

Hii ngoma lazima Magu aingilie kati mzee wa kutengeneza ttzo na kulitatua
Hahah utasikia tu 'vijana wetu(wasafi) hua wanakosea lkn hatuna budi kuwalea, tcra ninaomba muwasamehe vijana hawa.'

Au nasema uongo ndg zangu wa Tcra
 
Aiseee miezi sita ni parefu sana, TCRA waaliangalie hili upyaa. Kama ni miezi sita basi wasafi imepotea kabsa.

Kuna ajira za watu hapo na wanasomesha watoto wao sasa sijui watoto watalipwaje Ada.
Ingekuwa hivyo wenye familia wasingekuwa wanafungwa wakifanya makosa kwa kisingizio cha kuwa na familia
 
CCM imeisha itumia wasafi TV kwenye kampeni za 2020 na sasa hawawataki tena, komeni wasafi TV kwa kihere rehe chenu, mme tumiwa na ma-CCM kama kondom na sasa mmetupwa kwenye chooni/ dust bin, mkiwa mmejaa 'sperms' za ma-CCM, tuliwaambia tuungane kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni weusi mkakataa ...…………………………...tehee teheee
 
Hapana. Miez sita n mingi Sana Kuna wengi wata umia Sana hasa wanao tegemea ajira kutokea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…