mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Dnt wrry 2025 uchaguzi watapata hela tenaHawa wanafanya hivi kwa sababu wana uhakika wa kupokea mshahara wa Magufuli.
Nikuhakikishie nje ya mshahara hawa jamaa hawana ujanja wowote.
Adhabu ya miezi sita kwa kitu kama hiki ni ujinga uliokubuhu.
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app